Bunge la Tanzania na posho

hKichaka

Senior Member
Apr 23, 2011
199
19
Nimekuwa nikifuatilia bunge la Tanzania na hizo hoja za posho,ikanibidi nianze kufanya utafiti.bunge la uingereza,kenya, na hata marekani yako simple sana lakini wanaonge mambo ya msingi.hapa kwetu bunge zuri kabisa kila mbunge na mic yake lakini likija suala la kubana matumizi nawashangaa sana wanaotetea posho,bado hayo magari ya kifahari ambazo ni kodi zetu.kwanza walitakiwa wajitolee bila hata ya kupata mshahara
 
Back
Top Bottom