Bunge la Tanzania litoe tamko kukemea uingiliwaji wa Sovereignty ya Tanzania in strongest possible terms!

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
4,712
Reaction score
11,979
Tanzania ni Sovereign State.

Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.

Tanzania Ina Katiba yake

Katiba imeweka Mahakama huru

Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.

Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao Mahakamani, naona wanasubiria hatima Yao kwa mujibu wa Sheria.

Mkiachia upuuzi huu ulioanza kujitokeza na wadhamini wa wasaliti wenu, Kuna siku mtaamuliwa hata kulala mlale saa ngapi.
 
Katiba mnayo meshindwa kuitii
 
Hamna mahali limeinhiliwa, punguzeni mkurupuko
 
Sovereignity ni kuua watu wako??
 
Ombaomba hana kauli. Bila mikopo na misaada siku mbili tu hii nchi inakata moto
 
Tanzania ni Sovereign State.

Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.

Tanzania Ina Katiba yake

Katiba imeweka Mahakama huru

Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.

Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao Mahakamani, naona wanasubiria hatima Yao kwa mujibu wa Sheria.

Mkiachia upuuzi huu ulioanza kujitokeza na wadhamini wa wasaliti wenu, Kuna siku mtaamuliwa hata kulala mlale saa ngapi.
Posho wanayolipwa hapo kwenye mjadala inachangiwa na haohao sasa sijui wanaanzaje
 
Hata kama tunaomba misaada lakini haiwapi uhalali wa kuingilia mambo yetu ya ndani
 
Tanzania ni Sovereign State.

Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.

Tanzania Ina Katiba yake

Katiba imeweka Mahakama huru

Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.

Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao Mahakamani, naona wanasubiria hatima Yao kwa mujibu wa Sheria.

Mkiachia upuuzi huu ulioanza kujitokeza na wadhamini wa wasaliti wenu, Kuna siku mtaamuliwa hata kulala mlale saa ngapi.
Mtaingiliwa sana mbwa nyie.
 
Tanzania ni Sovereign State.

Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili.

Tanzania Ina Katiba yake

Katiba imeweka Mahakama huru

Mahakama za Tanzania o ndio zimepewa dhamahukona kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia.

Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao Mahakamani, naona wanasubiria hatima Yao kwa mujibu wa Sheria.

Mkiachia upuuzi huu ulioanza kujitokeza na wadhamini wa wasaliti wenu, Kuna siku mtaamuliwa hata kulala mlale saa ngapi.
Mnaweza na umaskini wenu?Acheni na kuomba omba hela kwako.Mnaenda kuomba hela huko mnakuja kutumia kufanya mauaji.

Ole wake mwananchi atakaye panga mstari kupiga kura.Silaha YETU MAWE NA MANATI.
 
Back
Top Bottom