Bunge la kesho

Bunge la kesho

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,559
Reaction score
7,914
FB_IMG_17515755285371574.jpg
 
Wakikosa ubunge wanaweza kuukwaa ukuu wa wilaya, ama ukatibu tawala ama ukuu wa mkoa. Asee kuna mengi ya kujifunza Tanzania mazee
 
Halafu mbona wana vifua vilaini sana hawa wabunge tarajali?
 
Wakikosa ubunge wanaweza kuukwaa ukuu wa wilaya, ama ukatibu tawala ama ukuu wa mkoa. Asee kuna mengi ya kujifunza Tanzania mazee
Dunia ya sasa imebadilika, mambo yote ni mtandaoni.

Bila kujibrand unaweza kuwaona watu wanafanikiwa mbele ya macho yako.
 
Back
Top Bottom