Bunge la Katiba mshike mshike

Bunge la Katiba mshike mshike

mzenjiboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
907
Reaction score
387
ImageUploadedByJamiiForums1394544492.800272.jpg

Picha hii inatoa taswira gani. Ni kweli itapatikana Katiba inayotarajiwa ?
 
Bungeee Bungeee Bungeee, Hawa Non-Pro sijui wanafanya nini humo Bungeni, shughuli yote imeshatekwa na wanasiasa, kinachoendelea ni AIBU kwa nchi hii! Hivi kweli Tanzania hatuna wataaluma wanaoweza kukaa na kufanya kazi kwa ufasaha na bila kuvutia kamba upande kwa faida zao kisiasa?...SHAME.
 
Hata wafe sisi tunataka katiba. Hapo bado sana mpaka ngumi zitapigwa hapo na si ajabu kwani nchi zingine ziliuana kwanza ndiyo wakatengeneza katiba. Hapo wabunge wetu wamejitahidi sana kuheshimiana na kuvumiliana kwa hoja vijembe mambo ya kawaida.
 
Mkuu umekurupuka. Hiyo picha ni ya siku nyingi. Ni pale Mh. Lema alipowapa za uso CUF kuwa ni chama marafiki na Liberal Democrats (waliberali) ambao pamoja na mambo mengine wanaunga mkono mshoga. Tifu lilizuka CUF wakataka kuzichapa. Usidanganye watu eti hiyo picha ya wabunge wa katiba.
 
Nia yako hasa ilikuwa nini hapa...
 
Mkuu umekurupuka. Hiyo picha ni ya siku nyingi. Ni pale Mh. Lema alipowapa za uso CUF kuwa ni chama marafiki na Liberal Democrats (waliberali) ambao pamoja na mambo mengine wanaunga mkono mshoga. Tifu lilizuka CUF wakataka kuzichapa. Usidanganye watu eti hiyo picha ya wabunge wa katiba.

Hii picha imo katika gazeti la mwananchi la leo na hilo tukio ni jana huko bungeni. Sasa mimi na wewe mkweli ni nani. Basi lisute mwananchi kwa kuweka picha ya zamani.
 
Bungeee Bungeee Bungeee, Hawa Non-Pro sijui wanafanya nini humo Bungeni, shughuli yote imeshatekwa na wanasiasa, kinachoendelea ni AIBU kwa nchi hii! Hivi kweli Tanzania hatuna wataaluma wanaoweza kukaa na kufanya kazi kwa ufasaha na bila kuvutia kamba upande kwa faida zao kisiasa?...SHAME.

mimi nlishajitoa kufuatilia huu ujinga.ni aibu tupu
 
Back
Top Bottom