Nimeona, jamaa kaagiza Chief Accountant alipe eti kwa kazi nzuri waliyofanya. Mimi nafikiri kama hizo pesa zingekuwa zinaombwa organ nyingine zisingekuwa nyingi kiasi hicho, 409,500,000/= ni pesa nyingi mno kwaposho ya wajumbe 12 na wasaidizi 6.kashaidhinisha huyo, na yeye anafungu lake, 400m zinakwenda ndani ya mwezi , duuu