Sijayaamini macho yangu! Mwanzo nilifikiri hivyo viwango ni kwa muda wote waliofanya hiyo kazi. Mil. 30 kwa muda usiozidi siku 30!!. Huu wizi sasa umevuka mipaka.
Kangi Lugola, Anna Kilango, Deo Filikunjombe, James Lembeli, Mbowe, Zitto, Lema, Mbatia, Kafulila, Machari, Lissu na wabunge wengine uzalendo wetu utapimwa kwenye suala hili.Hapa ndiyo kweli tutaona kama kuna wabunge wazalendo wakatae hii posho lakini siyo kupiga kelele za kisanii tu bungeni.
Rais wangu Kikwete mambo kama haya yanaudhi wananchi wako. Posho hii ni kwa mujibu wa Circular gani ya serikali? Sh milioni moja na nusu kwa siku, kweli? Acheni kuwachokoza wananchi. Huu, Mheshimiwa Rais ni wizi tena wa mchana!!!Sijayaamini macho yangu! Mwanzo nilifikiri hivyo viwango ni kwa muda wote waliofanya hiyo kazi. Mil. 30 kwa muda usiozidi siku 30!!. Huu wizi sasa umevuka mipaka.
hao wameshalipwa tayari kama maandalizi tu bado ngoma yenyewe, wameshalamba fasta fastaKangi Lugola, Anna Kilango, Deo Filikunjombe, James Lembeli, Mbowe, Zitto, Lema, Mbatia, Kafulila, Machari, Lissu na wabunge wengine uzalendo wetu utapimwa kwenye suala hili.
Ule msimamo wenu wabunge wa chadema ndiyo onyesheni hapo sasa.Mliichagua ccm wenyewe, sasa mnalia! Mwakani mtumie akili!!!
Niliiona majuzi hii kule mf.Bunge la katiba wagawana mamilioni kibabe angali mtanzania mwalimu akifanya kazi 30yrs mafao ni mil 4 ila wao kwa siku kazaa wanagawana posho za mamlioni ya pesa. ushahidi huu hapo chini
KB
Yah. Maombi ya posho
1. Katibu wa Bunge Sh. 1,500,000/=
2. Mwenyekiti na Katibu sh.1,250,000/=
3. Wajumbe sh. 1,000,000/=
4. Wasaidizi sh.500,000/=
Wajumbe hao ni
1. Dr. Thomas D.Kashililah
2. Eng. Dr.Philemon K.Mzee
3 ..
4 .
Nawasilisha..
Eng. Dr. Philemon K.Mzee
Kiongozi- Sekretariet ya kikosi kazi