Bunge la katiba kulipuliwa mda wowote..,

Bunge la katiba kulipuliwa mda wowote..,

fiter

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
1,144
Reaction score
79
makachero wa al-queida washakamilisha mchoro wanangoja utekelezaji ole wako utakayedharau taarifa hii ni mara ya 2 inatolewa na author 2 tofauti
 
makachero wa al-queida washakamilisha mchoro wanangoja utekelezaji ole wako utakayedharau taarifa hii ni mara ya 2 inatolewa na author 2 tofauti

yale maandamano uliyotuambia jana yamefikia wapi?
 
...alqaida ishaga chinjwa,jaribu uwongo mwingine,chezeya marekani weye...
 
tutapata hasara kubwa wakitekeleza hujuma hii, ila wakati wa utekelezaji mwigulu nchemba, Lukuvi na Mkuchika wawepo mjengoni.
 
Afadhali ikiwa kweli ila wengine wajeruhiwe tu kwani wana afadhali kidogo.
 
natabiri kifo cha hii thread wakat wowote kuanzia sasa mods wataichinjachinja
 
arusha joto.tupu.ndugu.hongereni kwa baridi

Mwenye kwa sababu nipo mbezi lous huku kidogo baridi lakini huko ushenzini wapo vibarazani saiv ndani joto la kufa mtu I mean hawazaani kipindi hiki.
 
Osama walishamchinja, sasa hivi walkio kwenye chat ni Boko haram na Al shaabab
 
Back
Top Bottom