Mwenye kwa sababu nipo mbezi lous huku kidogo baridi lakini huko ushenzini wapo vibarazani saiv ndani joto la kufa mtu I mean hawazaani kipindi hiki.
Mkuu utasaidia polisi kidogo kwa hilo km taharifa unazo fikisha sehemu usika kuliko kuona damu za wtz inamwangika hovyo hakika utakua mtuhumiwa Wa kwanzamakachero wa al-queida washakamilisha mchoro wanangoja utekelezaji ole wako utakayedharau taarifa hii ni mara ya 2 inatolewa na author 2 tofauti