Bunge la Bajeti 2013 Laimaliza CHADEMA

Bunge la Bajeti 2013 Laimaliza CHADEMA

MAFILILI

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
2,377
Reaction score
1,200
Kikao cha bunge kinachoendelea mjini Dodoma kimekuwa ni sumu kwa CHADEMA kwa vile wananchi wamepata fursa adimu ya kuwaelewa aina ya viongozi na chama kwa ujumla kilivyo. Wabunge wa CHADEMA wamekuwa mashuhuri kwa kuibua hoja zisizo na mshiko kwa wapiga kura na taifa kwa ujumla hivyo wananchi wamepata nafasi ya kuwajua kiundani viongozi wa CHADEMA wasivyo na uelewa na ufahamu wa kuongoza nchi. Mbowe akiwa ni Kiongozi Mkuu wa Upinzani Bungeni amezidi kupoteza umaarufu kutokana na tabia za yake ya kuwaachia wabunge wasio na haiba ya uongozi kama vile Sugu, Wenje na Msigwa kuandaa na kusoma hotuba zisizo na manufaa kwa taifa. Yote kwa yote kikao cha bunge kimekuwa ni KABURI la CHADEMA kwa vile watanzania wamepata nafasi ya kuwachambua viongozi wa CHADEMA.
Nimefanya utafiti mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga nimegundua wananchi kwa kupitia bunge wamejiridhisha kuwa chama cha CHADEMA hakina sifa ya kuongoza nchi kwa sababu viongozi wake ni vinara wa fujo na kuleta uchochezi wenye dalili ya kuharibu AMANI nchi mwetu iliyojengwa kwa zaidi ya miaka 50.
Wanazi wa CHADEMA pokeeni hoja hii pasipo matusi ili chama chenu kibadilike kwa manufaa ya nchi yetu
 
Wanavyozidi kuboronga ndio njia mojawapo kwa wale wasiojua usanii wa chadema kwa wananchi .
 
Is it bothering you? Why? Aren't you CCM follower?.
 
Kikao cha bunge kinachoendelea mjini Dodoma kimekuwa ni sumu kwa CHADEMA kwa vile wananchi wamepata fursa adimu ya kuwaelewa aina ya viongozi na chama kwa ujumla kilivyo. Wabunge wa CHADEMA wamekuwa mashuhuri kwa kuibua hoja zisizo na mshiko kwa wapiga kura na taifa kwa ujumla hivyo wananchi wamepata nafasi ya kuwajua kiundani viongozi wa CHADEMA wasivyo na uelewa na ufahamu wa kuongoza nchi. Mbowe akiwa ni Kiongozi Mkuu wa Upinzani Bungeni amezidi kupoteza umaarufu kutokana na tabia za yake ya kuwaachia wabunge wasio na haiba ya uongozi kama vile Sugu, Wenje na Msigwa kuandaa na kusoma hotuba zisizo na manufaa kwa taifa. Yote kwa yote kikao cha bunge kimekuwa ni KABURI la CHADtEMA kwa vile watanzania wamepata nafasi ya kuwachambua viongozi wa CHADEMA.
Nimefanya utafiti mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga nimegundua wananchi kwa kupitia bunge wamejiridhisha kuwa chama cha CHADEMA hakina sifa ya kuongoza nchi kwa sababu viongozi wake ni vinara wa fujo na kuleta uchochezi wenye dalili ya kuharibu AMANI nchi mwetu iliyojengwa kwa zaidi ya miaka 50.
Wanazi wa CHADEMA pokeeni hoja hii pasipo matusi ili chama chenu kibadilike kwa manufaa ya nchi yetu

Acha kujidanganya wahi Lumumba ukachukue buku 7 ya night
 
kikao cha bunge kinachoendelea mjini dodoma kimekuwa ni sumu kwa chadema kwa vile wananchi wamepata fursa adimu ya kuwaelewa aina ya viongozi na chama kwa ujumla kilivyo. Wabunge wa chadema wamekuwa mashuhuri kwa kuibua hoja zisizo na mshiko kwa wapiga kura na taifa kwa ujumla hivyo wananchi wamepata nafasi ya kuwajua kiundani viongozi wa chadema wasivyo na uelewa na ufahamu wa kuongoza nchi. Mbowe akiwa ni kiongozi mkuu wa upinzani bungeni amezidi kupoteza umaarufu kutokana na tabia za yake ya kuwaachia wabunge wasio na haiba ya uongozi kama vile sugu, wenje na msigwa kuandaa na kusoma hotuba zisizo na manufaa kwa taifa. Yote kwa yote kikao cha bunge kimekuwa ni kaburi la chadema kwa vile watanzania wamepata nafasi ya kuwachambua viongozi wa chadema.
Nimefanya utafiti mikoa ya lindi, mtwara, pwani na tanga nimegundua wananchi kwa kupitia bunge wamejiridhisha kuwa chama cha chadema hakina sifa ya kuongoza nchi kwa sababu viongozi wake ni vinara wa fujo na kuleta uchochezi wenye dalili ya kuharibu amani nchi mwetu iliyojengwa kwa zaidi ya miaka 50.
Wanazi wa chadema pokeeni hoja hii pasipo matusi ili chama chenu kibadilike kwa manufaa ya nchi yetu
mimi nazani bunge la bajeti 2013 ndio limesaidia kutufanya wananchi tuzidi kuichukia sisim na kuikubali chadema.
 
Nuku saba fc umeshaingiza posho yako ya siku. Naibu spika ndigay mwenyewe amekiri kuwa wabunge wa Chadema ni mashujaa kwa watanzania na kuapa kuwa kamwe hatawagusa.
Sasa wewe kwa akili yako iliyojaa ulevi wa mataputapu unakurupuka na kuandika utumbo.

We unaona ze dentist na vuvuzela wanashindwa kukaa lumumba ofisini kwasababu ya Chadema halafu wewe umejitia upofu kwasababu ya buku saba!
 
Kikao cha bunge kinachoendelea mjini Dodoma kimekuwa ni sumu kwa CHADEMA kwa vile wananchi wamepata fursa adimu ya kuwaelewa aina ya viongozi na chama kwa ujumla kilivyo. Wabunge wa CHADEMA wamekuwa mashuhuri kwa kuibua hoja zisizo na mshiko kwa wapiga kura na taifa kwa ujumla hivyo wananchi wamepata nafasi ya kuwajua kiundani viongozi wa CHADEMA wasivyo na uelewa na ufahamu wa kuongoza nchi. Mbowe akiwa ni Kiongozi Mkuu wa Upinzani Bungeni amezidi kupoteza umaarufu kutokana na tabia za yake ya kuwaachia wabunge wasio na haiba ya uongozi kama vile Sugu, Wenje na Msigwa kuandaa na kusoma hotuba zisizo na manufaa kwa taifa. Yote kwa yote kikao cha bunge kimekuwa ni KABURI la CHADEMA kwa vile watanzania wamepata nafasi ya kuwachambua viongozi wa CHADEMA.
Nimefanya utafiti mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga nimegundua wananchi kwa kupitia bunge wamejiridhisha kuwa chama cha CHADEMA hakina sifa ya kuongoza nchi kwa sababu viongozi wake ni vinara wa fujo na kuleta uchochezi wenye dalili ya kuharibu AMANI nchi mwetu iliyojengwa kwa zaidi ya miaka 50.
Wanazi wa CHADEMA pokeeni hoja hii pasipo matusi ili chama chenu kibadilike kwa manufaa ya nchi yetu

Mawazo yasiyo na utafiti ni kujidanganya wananchi wanatambua ukweli kuhusu CHADEMA na si wewe uwasemee unatumiwa wewe kale BUKU.
 
Mtu mzima hovyooooo!!! Unabwabwaja pumba mpaka povu linakutoka mdomoni!!!Akili za kitaahira zinakusumbua sana.
 
hivi nyie mnaoitete ccm mko timamu kweli? Riz11, January, Fred L, na wangine kama hao, ndio ambao siwashangai wakiendelea kuitetea ccm hadi dakika ya mwisho maana ndio ya kwao na wanaitumia kupaipakua nchi na wananeemeka nayo na kila mtu anaona. Sasa ninapona kapuku mwenye maisha magumu na matatizo chungu nzima anaitetea ccm huwa nashangaa sanaa. Kwanini mnatumika nyie? Ni lini mtafungua macho na kujitambua?
Tupiganieni mabadiliko ili nchi yetu iendelee. CCM ni kansa, hakuna tena kiongozi wa kututoa hapa tulipo ambaye yuko CCM, tusijidanganye jamani. Upeo wao ulishafika mwisho kabisa (ama kwa makusudi ama kwa kutokujua). Hakuna nchi iliyopata maendeleo chini ya chama kinachoongoza tangu uhuru. HAKUNA.
 
Mtoa mada, yaani Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga ndio Tanzania nzima?

Ukichukua % ya mikoa 4/30 unapata ngapi %?

Nimechukulia mikoa iko 30 tu

Na hata kwa mikoa hiyo 4, methodology ilikuwaje?
 
Ungeweka uthibitisho wa uliyoyasems ungeonekana wa maana jiuliza ni kwa nn bunge liliahirishwa
 
Chezea siasa za maji taka wewe.....
 
Kila aliyeangalia Bunge amejionea jinsi Mbowe alivyoshindwa kuongoza upinzani Bungeni.
 
MAFILILI is very jingaz.Hadi kiti cha spika kimekuwa na hofu kila kukicha wee huoni?
 
Kikao cha bunge kinachoendelea mjini Dodoma kimekuwa ni sumu kwa CHADEMA kwa vile wananchi wamepata fursa adimu ya kuwaelewa aina ya viongozi na chama kwa ujumla kilivyo. Wabunge wa CHADEMA wamekuwa mashuhuri kwa kuibua hoja zisizo na mshiko kwa wapiga kura na taifa kwa ujumla hivyo wananchi wamepata nafasi ya kuwajua kiundani viongozi wa CHADEMA wasivyo na uelewa na ufahamu wa kuongoza nchi. Mbowe akiwa ni Kiongozi Mkuu wa Upinzani Bungeni amezidi kupoteza umaarufu kutokana na tabia za yake ya kuwaachia wabunge wasio na haiba ya uongozi kama vile Sugu, Wenje na Msigwa kuandaa na kusoma hotuba zisizo na manufaa kwa taifa. Yote kwa yote kikao cha bunge kimekuwa ni KABURI la CHADEMA kwa vile watanzania wamepata nafasi ya kuwachambua viongozi wa CHADEMA.
Nimefanya utafiti mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga nimegundua wananchi kwa kupitia bunge wamejiridhisha kuwa chama cha CHADEMA hakina sifa ya kuongoza nchi kwa sababu viongozi wake ni vinara wa fujo na kuleta uchochezi wenye dalili ya kuharibu AMANI nchi mwetu iliyojengwa kwa zaidi ya miaka 50.
Wanazi wa CHADEMA pokeeni hoja hii pasipo matusi ili chama chenu kibadilike kwa manufaa ya nchi yetu
...naomba nikuulize swali. we ni wa kike au kiume?
 
Back
Top Bottom