utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
mods tunaomba mleta uzi atudhibitishie haya aliyoyaandika kwakutuwekea facts hapa,dhumuni la huo utafiti na nani alimtuma na huna faida gani kwa jamii.
Mnageuza jf kijiwe cha kupiga porojo?
acha kuongea kama hujasoma kwani utafiti kufanya mpaka utumwe na mtu unaweza kuwa mwandishi huru na ukafanya utafiti wako.nakushangaa kuanza kulalamika badala ya kumjibu mleta mada.