Ahsante Mustafa, babu kubwaaaa, umenikooosha mpaka ndani ya roho.
Maganga sasa naona unataka kuleta uchochezi. Watu 43million na mainland ni 97.1%?! No it fifty fifty! hata kikwete kwenye tume ya katiba kaweka 50% 50%.Idadi ya watu 2010 inakadiriwa 43million .. Mainland 97.1%