Bunge la 12: Mkutano wa 11, Kikao cha 5 leo April 12, 2023

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,821
12,000
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Aprili 12 kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 5 - Maswali na Majibu, Mjadala Bajeti ya Waziri Mkuu

Bora hawa wana points za kuongea kuliko yule 'mbunge hovyo' na mwenye elimu duni anaetaka wenzake waache kuongelea issue ya CAG.
 
Hivi vikao havina tija, Serikali na Bunge ni kitu kimoja kwa sasa - na hii ndiyo gharama aliyotuachia mwendazake baada ya kuua mawazo mbadala Bungeni kwa njia za giza. - Ni hivi hamuwezi kuendelea kama mna mawazo sawa na mnakubaliana kwa kila jambo.
Yule alikuwa ni shetani
 
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Aprili 12 kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 5 - Maswali na Majibu, Mjadala Bajeti ya Waziri Mkuu

Bunge gani, ni wala nchi waliopitishwa na magufuli kuingia kwenye majengo hayo Dodoma, maana hilo siyo bunge bali mkusanyiko wa waiba kura
 
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Aprili 12 kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 5 - Maswali na Majibu, Mjadala Bajeti ya Waziri Mkuu

Back
Top Bottom