Its a game,kinachoumiza tu ni kuwa maamuzi ya namna hii yanamuumiza sana mtanzania wa kawaida na si yule anayeyafanya.....lets see!!
AKIZUNGUMZA NA ITV KATIBU WA BUNGE AMESEMA HAMNA HAJA YA HOJA YA KATIBA KWANI SERIKALI IMEANZA MCHAKATO WA KATIBA
NA KUHUSU DOWANS KASEMA SWALA HILO LIKO MAHAKAMANI NA BUNGE HALIWEZI KULIZUNGUMZIA
moto wa CCM umeanza
Imekula kwenu, siku nyingine mkumbuke kutomshika mkono wakati mnakula na kipofu.
Hilo mbona lilikuwa wazi tulikuwa tunasubiri muda tu..... sasa bado ya mnyika na yenyewe kuzimwa
Aisee, inatia shaka sana kuona jinsi mambo yanavyokwenda. Historia itawahukumu mwaka 2015
Anne Makinda anataka kufa vibaya. Taarifa ya habari saa 2:00 usiku imesema kuwa hoja mbili kati ya saba hazitajadiliwa. Moja, hoja ya Mh.Mnyika kuhusu katiba eti kwamba rais atateua tume. Hoja ya Pili ni ya Kafulila. hili limeachwa kwa vigezo kuwa suala hilo lipo mahakamani.
Hivi Watanzania kumbe tunanyanyaswa hivi? Rais akiona mbunge anapeleka hoja bungeni yeye anawahi kwa usanii wa kusema ataunda tume.
Wabunge wetu njoni kwa wananchi tutawaunga mkono tuandamane. Wanaotakiwa kuachia madaraka ni kuanzia rais na spika. hatukubali usanii wa kucheza na maisha yetu.mambo ya tume hadi lini?
mkuu jaribu kumuamini tu yawezekana jamaa akawa messenger wa bunge............hivo huwa anadaka umbea akiwa katika shughuli yake ya kusambaza vimemoI don't think if that can possible, can you analyze source please?