Bunge kuwaka moto, Kambi Rasmi ya Upinzani Kufutwa?

Its a game,kinachoumiza tu ni kuwa maamuzi ya namna hii yanamuumiza sana mtanzania wa kawaida na si yule anayeyafanya.....lets see!!

Mama we, most policies in Africa are made in favor of policy makers, but in the name of the poor.
 
AKIZUNGUMZA NA ITV KATIBU WA BUNGE AMESEMA HAMNA HAJA YA HOJA YA KATIBA KWANI SERIKALI IMEANZA MCHAKATO WA KATIBA

NA KUHUSU DOWANS KASEMA SWALA HILO LIKO MAHAKAMANI NA BUNGE HALIWEZI KULIZUNGUMZIA

moto wa CCM umeanza

Haya ni maoni ya katibu wa bunge au ndiyo uamuzi wa bunge???? Hivi kwa utawala wa sheria, kama wanavyodai hawa wachakachuaji, wabunge na katibu wa bunge nani ana mamlaka juu ya mwingine??????
 
Imekula kwenu, siku nyingine mkumbuke kutomshika mkono wakati mnakula na kipofu.

Mkuu kanuni za Bunge sio msahafu, zinaweza zikabadilishwa muda wowote ule kunapotokea haja ya kufanya hivyo.

By the way kwanini kuwe na kanuni inayowanyima baadhi ya wabunge haki ya kuwa wenyeviti wa kamati za bunge?hii ni kanuni ya kibaguzi na kwa namna yoyote haistahili kuwepo kwenye Bunge la kidemokrasia.
 
Kama ccm inatekeleza madai ya cuf against vyama vingine vya upinzani, kwa nini cuf wanataka pia wawe kambi ya upinzani?
 
Tutaandamana kama tunisia na misri...(huu wimbo uko kwenye REPEAT MODEL).
Mmh tutasikia mengi ngoja bunge lianze hiyo kesho
 
Hi itasaidia kuimarisha mshikamano dhidi ya mafisadi. Hususani ikizingatiwa bei ya sukari imepanda
 
kama uendeshaji wa bunge ni kama wa nchi nyingi za jumuiya ya madola , kwa nini wasiangalie wenzao wanafanyeje mfano uk kwenye kuunda hizo kamati?
 
Mie si mwanachama wa chama chochote lakini kama hizi habari ni kweli zitaiweka CCM pabaya zaidi na hata Makinda atapata wakati mgumu wa kuongoza bunge. Hii inaweza kuipa Chadema nguvu zaidi ikiwa watakimbilia kwa wananchi itakapotokea hoja zenye mvuto na maslahi ya umma zitakapotupwa kwa utashi wa kisiasa. Naona yale ya Zito na Buzwagi kutokea tena. CCM needs to be wise and careful in handling issues that are of national interest. Tunataka maendeleo na maendeleo ya kweli na haraka yanahitaji kukubali changamoto na si kutetea maslahi ya watu wachache.
 
Hakuna cha bunge kule Dodoma. wananchi tunatakiwa kuandamana nchi nzima kumpinga spika ili aachie ngazi. kanuni zake zinatusaidia nini kama maslahi ya wananchi hayana nafasi?
 
I hope kina tundu lissu wata lishughulikia hilo suala na tutajua mengi zaidi duh
 
Taarifa hii ya mtoa mada si kweli -- nimemuuliza jamaa yangu mmoja (mwandishi)wa habari aliyeko Dodoma na kusema ameona habari hii katika JF lakini si kweli kabisa.

Mtoa mada atoe source yake.
 
Anatekeleza kile ambacho wengi tunaamini kuwa ukiona u dhaifu wa kuhimili kishindo cha mpinzani wako, basi ni lazima uvunje chochote kinachoashiria mshikamano wao.
 
Anne Makinda anataka kufa vibaya. Taarifa ya habari saa 2:00 usiku imesema kuwa hoja mbili kati ya saba hazitajadiliwa. Moja, hoja ya Mh.Mnyika kuhusu katiba eti kwamba rais atateua tume. Hoja ya Pili ni ya Kafulila. hili limeachwa kwa vigezo kuwa suala hilo lipo mahakamani.

Hivi Watanzania kumbe tunanyanyaswa hivi? Rais akiona mbunge anapeleka hoja bungeni yeye anawahi kwa usanii wa kusema ataunda tume.

Wabunge wetu njoni kwa wananchi tutawaunga mkono tuandamane. Wanaotakiwa kuachia madaraka ni kuanzia rais na spika. hatukubali usanii wa kucheza na maisha yetu.mambo ya tume hadi lini?

mmh!mbona wanazidi kuntia hasira hawa mabwana!Ndugu zangu watz,hakuna cha kusubiri sasa,tuamue kwa pamoja kufanya kama wenzetu wa tunisia tuondoe mafedhuli haya wanaiua nchi yetu jamaniii...!
 
I don't think if that can possible, can you analyze source please?
mkuu jaribu kumuamini tu yawezekana jamaa akawa messenger wa bunge............hivo huwa anadaka umbea akiwa katika shughuli yake ya kusambaza vimemo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom