Bunge kurusha matangazo ya vikao vya bunge

Bunge kurusha matangazo ya vikao vya bunge

majipu yakitumbuliwa ni hatari kwa taifa,hivi ni vichunusi tu sijui kilango sijui dau
 
Hakuna mbwembwe za kujidai unavaa kofia za kininja wakati ukitoka mjengoni unavuta mpunga wa rushwa kwenye kamati!
 
Wabunge wengi walijizolea sifa hata kudiriki kujiita wabunge wa kimataifa kwa sababu tu ya kuonekaana kwenye tv na wananchi wengi kuwatazama! Wakati huohuo ukienda kwenye majimbo yao hali ni mbaya kweli!! hatutaki wabunge wa kwenye tv acha wakawatumikie wananchi,badala ya kuonekana kwenye tv
 
Katika hali ya kusikitisha ni pale sisi wananchi tunapoambiwa na kiongoz flan wa serikali yako kuwa Bunge halitaonyeshwa livee. Kwakweli swala hili si haki kabisa kwetu sisi raia maana tutashindwa kuwasikia wabunge wetu wawapo bungeni wakichangia hoja kuhusiana na bajet naomba mh. rais ukiagize kile kikosi chako cha utafiti kikuletee taarifa kama ni kweli kurusha bunge live ni gharama kama ulivyoshauliwa.

Maana naona hiyo inaweza ikirudisha nyuma sana jitihada zako za kutumbua majipu na badala yake wale wasiopenda utumbuaji wako wa majipu kukurudisha nyuma kwa kuwafanya wananchi kutoona jinsi bajet yako ulivyoisukaa na namna serikali itakavyochukua hatua juu ya watafunaji wa pesa kulitia ripot ya CAG. Mh rais kwa heshma kubwa tunaomba uliangaliiee hili laweza likawa ni hujuma juu ya utawala wako.

Naomba waandishi wa habarr mtumie kalamu zenu na karasi kupigia kelele swala hili linalotukwaza sana sisi wananchi
kuna taasisi ilijitolea kulipia matangazo,live, cjui walikuwa wanatudanganya au vp, may b tusubr huenda watalipia
 
Bunge Kuwa Live Ni Kuichimbia Kaburi Serikali ya Tano ya CCM!Matumaini Pekee Yaliyoanza Kumea ya C.C.M Yatapukutika Kabisa Kwa Wananchi Kuonyeshwa Ukosoaji wa UKAWA Bungeni!Bunge Likiwa Live Wananchi Watajulishwa Mapungufu ya Elimu Bure,Ufisadi na Ubovu wa Serikali ya Maigizo ya Magufuli
 
Hivi unataka kuangalia bunge ili iweje?. Subiri magazeti kesho yake yataandika.
 
Back
Top Bottom