Bunge kurusha matangazo ya vikao vya bunge

Asante kwa taarifa mkuu lakini tunawaomba wahusika wasitumie mwanya huu kuwaficha wabunge wanaosinzia bungeni waanikwe tu ili tuwatumbue huku majimboni
 
Hapo wanatengeneza mazingira ya kutorusha Live. Mwanzoni walisema TBC haitarusha live lakini vituo binafsi ruksa kurusha live. Leo wanakuja na utaratibu mwingine wa kuwadhibiti.
 
Tunasubiri tuone kwanza utekelezaji utakuwaje.

Nina mashaka kama matangazo hayo yatakuwa live maana naona kama wameanza kujitetea kwa kusema huu ndio utaratibu wa nchi nyingi za Jumuiya ya Madola.
 
Mmmh....so that they can censor the televised news,we want to hear and watch the parliamentary session as it happens...not the censored one,please!
 
SIONI UMUHIMU KUWA LIVE NIBORA UONYESHWE JIONI WATU WAKO NYUMBANI..KWANI MCHANA NI MUDA WA KAZI TU !!!!!
 
Nimeondoa tongo tongo kuhusu kinachozungumziwa hapa. Nitarudi
 
Tungeomba kujua pia muda wa kurushwa bunge, utakuwa ni ule ulioleta mzozo kwa TBC au itakuwa kama zamani?
 
Hapo wanatengeneza mazingira ya kutorusha Live. Mwanzoni walisema TBC haitarusha live lakini vituo binafsi ruksa kurusha live. Leo wanakuja na utaratibu mwingine wa kuwadhibiti.
Wewe unatakaje sasa
 
Back
Top Bottom