Bunge Kivuli la Jamii Forum

Status
Not open for further replies.
kama jinsi JF ilivyogawanywa katika categories tofauti basi na mawaziri husika watatoka humohumo,
kwa mfano waziri wa afya-jf doctor.
waziri wa sheria na katiba-jukwaa la sheria,
waziri wa elimu-jukwaa la elimu,
waziri wa biashara na viwanda/waziri wa fedha-business and economic
waziri wa michezo-sports & entertainment forum
etc

nakubaliana na mchanganuo wako wa wizara ndani ya JF ila wabunge wachaguliwe na wana JF kwa kila aliyetayari na chama chake mfano mm ninaomba ridhaa yenu wana JF kuwa MP's kwa tiketi ya CDM jimbo la Rungwe na wengine wafanye hivyo unaionaje hii Inkoskazi
 
kama jinsi JF ilivyogawanywa katika categories tofauti basi na mawaziri husika watatoka humohumo,
kwa mfano waziri wa afya-jf doctor.
waziri wa sheria na katiba-jukwaa la sheria,
waziri wa elimu-jukwaa la elimu,
waziri wa biashara na viwanda/waziri wa fedha-business and economic
waziri wa michezo-sports & entertainment forum
etc

wabunge watume maombi kwa wana JF kuomba uwakilishi mfano mm mwana JF kupitia CDM naomba mnichague niwe mbunge kwa jimbo la Rungwe msimamizi moderator
 
Anayeomba ubunge awe ni members yeyote mwenye uwezo wa kutoa hoja zinakubalika ndani JF na kila mgombea ataje chama pia kiwepo chama tawala ndani ya JF na vyama pinzani speaker si lazima awe mbunge
 
kama jinsi JF ilivyogawanywa katika categories tofauti basi na mawaziri husika watatoka humohumo,
kwa mfano waziri wa afya-jf doctor.
waziri wa sheria na katiba-jukwaa la sheria,
waziri wa elimu-jukwaa la elimu,
waziri wa biashara na viwanda/waziri wa fedha-business and economic
waziri wa michezo-sports & entertainment forum
etc

kwa namna hii basi kutakuwa na waziri wa mapenzi na mahusiano
 
Mimi naomba niwe Mbunge kutoka Chama tawala na niwe nawakilisha mawazo halisi ya apiga kura wengi waliomchagua na kuchagua Chama tawala dhidi ya vyama vya upinzani hususan Chadema.

Nawasilisha hoja
 
mlengo wangu ni wa kushoto na kuichochea serikali ya chama tawala iweze kuleta maendeleo ya dhati kama ilivyoahi ktk kipindi cha kampeni zake,jimbo la temeke -chadema
 
acheni mizaha ya kitoto.Mtoa hoja kaja na wazo zuri.Hebu kuweni serious mje na mapendekezo mazuri yanye kutekelezeka.Ninashauri hivi"
1. Wekeni vigezo au HADIDU ZA REJEA kwa chombo mnachokipendekeza.Mfano kama ni Bunge la JF mnataka lifanye kazi gani - seriously na siyo utani.
2. Hao wabunge wapatikane kidemokrasia - uwepo utaratibu wa kuwapata

3. Halafu mchague watakaoongoza shughuli kufuatana na Hadidu za Rejea!

Natoa wazo.
 
Wazo zuri ila nashauri tujigawe km ifuatavyo................ccm na ccm-b(cuf) wawe wapinzani ili waone nchi zinavyoendeshwa na chadema wawe chama tawala............
 
ha hah aaaaaaaaa, inafurahisha lakini inaleta maana pia!!
 
chama tawala uku jamii forum ni chadema pinzani ni ccm na mke wake cuf

mimi nitakuwa waziri wa sayansi na teckinolojia
 
Mimi naona ianzishwe subforum humu JF ambayo itakuwa maalum kwa ajili ya hilo bunge lenyewe. Halafu wahusika hasa mawaziri, wabunge, na spika wawe ni active members wa Jf. Halafu mijadala iwe ni ile ya kitaifa tu kwani sidhani kama itakuwa rahisi kujadili mambo ya kimaeneo kwa ufanisi. Sasa If so why not establishing JF GOVERNMENT with prezident and so on.......? Ni mtazamo tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom