Bunge Kivuli la Jamii Forum

Status
Not open for further replies.
Mimi naomba niwe Mbunge kutoka Chama tawala na niwe nawakilisha mawazo halisi ya apiga kura wengi waliomchagua na kuchagua Chama tawala dhidi ya vyama vya upinzani hususan Chadema.

Nawasilisha hoja
Ikiwezekana uwe waziri mkuu kabisa!
 
Dear Members
Natamani mkusanyiko huu wa ACTIVE members JF ungelikuwa ni bunge fulani hivi likiwa na Speaker,Waziri mkuu,Mawaziri na wabunge kutoka vyama tofauti...
je tungepewa fursa ya kumchagua spika na kuteuwa mawaziri wa wizara tofauti humu JF kwa kuzingatia umahiri wao katika hoja zao tungewapendekeza kina nani?
Just give ur idea regardless of politics itikadi etc

Naomba nichaguliwe kuwa Mbunge wa Igunga aka Rostam afu nakula mihela ya wanachi afu nyie mnabakia kunituhumu kwa ufisadi,,,hii itasaidia mpate uzoefu wa kupambana na mafisadi nyangumi,,, na ningependelea kuwe na kamfuko cha michango cha JF ili niziibe, alafu mpate pa kuanzia kunituhumu!
Au mwaonaje wakuu?
 
Mapendekezo mengi ya wana JF yachambuliwe yanayofaa na kamati ipendekezwe na kutoa mwongozo uchaguzi uendelee cdm ndo tawala humu na ccm+cuf wapinzani Inkoskazi awe mwenyekiti wa kamati ya kuratibu maoni
 
Kama mambo yenyewe ndo haya mm nitaingia hata mjengoni kweli!!!!! labda kuwepo na wabunge wa kambi ndogo itakayoundwa na wachangiaji wasioanzisha mada
 
Waungwana inabidi tuanze kuliandaa bunge mana naona wana member wanaanza ku-urge na muda unayoynma inakuaje hapo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom