Bunge hili tukufu

Bunge hili tukufu

IT Guru

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
635
Reaction score
113
Waheshimiwa wa bunge la JF naomba tuanze mkutano. Spika kikao kianze
 
samahani Mh Mbunge wa ......umedondosha hirizi yako. angalia pembeni ya mguu wako wa kulia.
 
Mheshimiwa spika.....naomba kuwasilisha!!!
 
paaah paaaah paaaah naunga mkono bajeti hii kwa 90%
 
Naunga mkono hoja ....................japokuwa sijasoma wala sijaelewa kilichoandikwa
 
mh spika, sikubaliani kabisa na maelezo ya mh waziri kwenye kipengele hiki, lakini naunga mkono hoja kwa 100%
 
Mi siungi mkono hoja wala sipingi ila kitakacho amuliwa mi kwangu poa tu:lol::lol::lol:🙁🙁🙁
 
Kutokana na katiba ya jamvini kifungu cha kwanza ibara ya 9, kinasema. 'ukitaka kuunga honga bofya thanks hapo'
 
mh supika....usifanye maombi kwanza naona mh. waziri wa mambo ya hivyo hivyo ameuchapa usingizi

shukran mheshimiwa mbunge kwa kunikumbusha. Ila mimi sio muislam sitoweza kuomba dua. Ila kama mnataka maombi nitaomba
 
mwongozo wa spika tafadhali kuhusu kuonekana kwa hirizi
 
Sasa waheshimiwa wabunge tuanze kwa kuwasilisha hoja na dukuduku zetu hapa jamvini na kisha tuzijadili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom