Bunga kiboko kwa wanaume "Dakika mbili"

Bunga kiboko kwa wanaume "Dakika mbili"

Oyaa hebu wastue na wanariadha inawahusu coz ukipakaa kwny miguu ni mwendo wa kukimbia tuu kama umefunga ingini ya mwendokasi
 
Wambie wale matunda na maji meengi hiyo dawa ikiwa sugu mwilini inakuwajee
 
Yap! Ni kweli ni tatizo la kisaikolojia mfano mimi nilikuwa napiga huku navuta hisia na kujikuta namaliza haraka sana na kumuacha manzi akinikodolea mimacho ya kuniambia bado anataka,baadae nikabuni mbinu, kwanza napiga nje..ndani taratiibu, pili najitahidi kuhamisha mawazo yangu yaani nawaza matatizo yangu kama ya kifedha ili nichelewe kukojoa na hii inamfanya aridhike na show ya kibabe hivyo yeye hufika kileleni kabla yangu na baadae huniomba nishuke, na mimi bila kipingamizi huwa nashuka huku dushe bado linahitaji naendelea kuvuta mastress yangu ili kupoteza mzuka mpaka raundi ya pili,katika raundi pili nahakikisha kakojoa ndo na mimi sasa narudisha akili yangu kwenye tendo, kesho yake sasa!!! si kusifiwa, Mara ooh mwanaume wewe leo umeniweza,,,,ooh mi mwenzio uchi wote unauma... Basi maneno kibaoo mi kimya namuangalia tu
tehetehe we muangalie tu
 
Binafsi bila dawa hizo dakika 30 niko juu naweza. sasa dawa ya kazi gani?
 
Asalam wakuu
Binafsi naamini kuwa tatatizo la nguvu za kiume ni la kisaikolojia zaidi kuliko tunavyofikiria.

sasa hapa mtaani kwetu nilipita kwenye kijiwe cha kahawa chenye mchanganyiko wa wazee na vijana. nikakuta kuna dawa inauzwa. nikauliza dawa hiyo inatibu nini ndipo nikajibiwa kuwa dawa hiyo ni ya kuongeza muda wa kufanya tendo. kwamba dawa hiyo unaipaka kwenye dushe two hours before the action. baadae unaenda kufanya mapenz. Inaweza kuchukua more than 30min uko juu ya kifua cha mwanamke bila hata mpango wa kumwaga. Dawa hii wengi wanaitumia ili kuridhisha wake zao au wapenzi wao hasa wanawake japo kwa kweli kuna hatari ya kupata maambukizi ya virusi vya ukimwi na magonjwa mengine kwa sababu hata upatapo michubuko si rahisi kugundua kwa sababu mzee wa kazi anakuwa na ganzi.

Dawa hii hutumiwaje?
Unapaka dawa hii kwenye dushe two hours before the action. Sasa hapo mzee wa kazi anapata ganzi. So unapomuingiza katika papuchi hasikii mtekenyo wowote bali ni kama mti tu usiohisi jambo lolote. Dawa hii ni maalumu kwa wale wanawake ambao hawaridhishwi na waume zao aka "wanaume dakika 2" "2minutes men".
Angalizo ukikutana na dawa hii jua tu kuwa haitumiki kukuongezea hamu la hasha bali kurefusha muda wa kumgegeda mamsapu.

Dawa hii inaaminika kutoka katika misitu ya watu wa kongo ambapo inaaminika kuwa mwanaume kumridhisja mwanamke ni jambo la kawaida sana.

Nb: Mimi si muuzaji wa dawa hiyo japo kama uko mkoa wa kigoma naweza kukuelekeza inapouzwa kwa bei chee tu.
Kweli wanaume ni kama mitoto akili zimeshikiliwa na viungaaaa na vimizizi kwa ajili ya mapenzi.
Kuweni wabunifuuuu unaaangaika na maunga alafu ubunifu zirooo kaa na akili zako
 
Kama hujawahi kuugua ugonjwa ambao ukapelekea wewe kupata ugonjwa wa upungufu wa nguvu za kiume kama vile kisukari au figo basi sikushauri utumie dawa zozote zinazo ongeza nguvu za kiume hasa kutokana na athari zake.

Watu wengi wanapata matatizo hayo hasa kutokana na ulaji na unywaji mbaya. Hivyo kubadili, mapishi namna ya kula ndo njia sahihi na ya kuaminika zaidi.

Kutumia dawa za nguvu za kiume kunaweza kusababisha kuibua magonjwa makubwa zaidi kama vile ugonjwa wa shikinikizo la damu. So tumia hizo dawa at your own risk. Yakikukuta usije ukasema kuwa hukuonywa.
 
Yap! Ni kweli ni tatizo la kisaikolojia mfano mimi nilikuwa napiga huku navuta hisia na kujikuta namaliza haraka sana na kumuacha manzi akinikodolea mimacho ya kuniambia bado anataka,baadae nikabuni mbinu, kwanza napiga nje..ndani taratiibu, pili najitahidi kuhamisha mawazo yangu yaani nawaza matatizo yangu kama ya kifedha ili nichelewe kukojoa na hii inamfanya aridhike na show ya kibabe hivyo yeye hufika kileleni kabla yangu na baadae huniomba nishuke, na mimi bila kipingamizi huwa nashuka huku dushe bado linahitaji naendelea kuvuta mastress yangu ili kupoteza mzuka mpaka raundi ya pili,katika raundi pili nahakikisha kakojoa ndo na mimi sasa narudisha akili yangu kwenye tendo, kesho yake sasa!!! si kusifiwa, Mara ooh mwanaume wewe leo umeniweza,,,,ooh mi mwenzio uchi wote unauma... Basi maneno kibaoo mi kimya namuangalia tu
Umenena vyema mkuu much respect.
 
Back
Top Bottom