Kashindi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 349
- 250
Asalam wakuu
Binafsi naamini kuwa tatatizo la nguvu za kiume ni la kisaikolojia zaidi kuliko tunavyofikiria.
sasa hapa mtaani kwetu nilipita kwenye kijiwe cha kahawa chenye mchanganyiko wa wazee na vijana. nikakuta kuna dawa inauzwa. nikauliza dawa hiyo inatibu nini ndipo nikajibiwa kuwa dawa hiyo ni ya kuongeza muda wa kufanya tendo. kwamba dawa hiyo unaipaka kwenye dushe two hours before the action. baadae unaenda kufanya mapenz. Inaweza kuchukua more than 30min uko juu ya kifua cha mwanamke bila hata mpango wa kumwaga. Dawa hii wengi wanaitumia ili kuridhisha wake zao au wapenzi wao hasa wanawake japo kwa kweli kuna hatari ya kupata maambukizi ya virusi vya ukimwi na magonjwa mengine kwa sababu hata upatapo michubuko si rahisi kugundua kwa sababu mzee wa kazi anakuwa na ganzi.
Dawa hii hutumiwaje?
Unapaka dawa hii kwenye dushe two hours before the action. Sasa hapo mzee wa kazi anapata ganzi. So unapomuingiza katika papuchi hasikii mtekenyo wowote bali ni kama mti tu usiohisi jambo lolote. Dawa hii ni maalumu kwa wale wanawake ambao hawaridhishwi na waume zao aka "wanaume dakika 2" "2minutes men".
Angalizo ukikutana na dawa hii jua tu kuwa haitumiki kukuongezea hamu la hasha bali kurefusha muda wa kumgegeda mamsapu.
Dawa hii inaaminika kutoka katika misitu ya watu wa kongo ambapo inaaminika kuwa mwanaume kumridhisja mwanamke ni jambo la kawaida sana.
Nb: Mimi si muuzaji wa dawa hiyo japo kama uko mkoa wa kigoma naweza kukuelekeza inapouzwa kwa bei chee tu.