Bunduki inafanyaje kazi?

nunua kwanza alafu nitafute nitakuelekeza kwa vitendo....unasimama mbele alafu mimi nabutua
 
Kuna siraha aina nyingi sana inaanzia gobole, pump action, bastola, shortgun, SAR, SMG,(AK 47 , m4) , G3, LMG, Twelve, heavy machine gun, Fourteen... Ww unataka maelezo au unataka kumiliki siraha gani?
 
wewe, bunduki inahitaji training moja ya maana, ili kuepusha muda na foleni, wee bora umiliki upinde na mshale tu. kwanza hapo ulipo una pressure; maana kama honi ya gari ikipigwa wewe unahisi kuzimia, sasa ukianza kutumia bunduki, mlio wake tu si unakudedisha kabisa.
 
Angepatikana mtaalamu wa mafunzo ya kijeshi angetuhabarisha kwa undani tukaelimika wengi humu.
 
SMG: panga risasi kwenye magazini kisha pachika magazini sehemu yake.
kuna handle fulani ipo ubavuni mwa bunduki unaishusha chini kisha unakoki mashine.
weka kidole kwenye trigger/kifyatulio na ukivute nyuma.

wakati unakoki risasi moja inakaa kwenye bomba la kutokea. ulipofyatua kuna vidude vinalivuta ganda la risasi na kulitoa nje wakati risasi yenyewe inasukumwa nje kwa nguvu ya mlipuko wa baruti baada ya kugongwa kwa na kidude flani kiswahili wanakiita nyundo. hapo risasi itatoka spidi tena ikiwa ya moto sababu ya huo mlipuko..
 

umesahau huz gun au bunduki kichaa.. hii ni zaidi ya automatic maana hata ukiidondosha bahati mbaya inapiga mpaka risasi zote ziishe... inaweza kukuua hata wewe mbebaji usipokuwa makini. kuna 14, 12 na Semi Automatic Riffle (SAR). Hizi ndizo zinatumika kwenye magwaride. then kuna long range hizi bunduki risasi zake ni mabomu.. nikikumbuka nyingine nitakwambia.
 

baada ya kukubaliwa kumiliki bunduki na kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa anaoishi ndipo atapewa mafunzo ya namna ya kutumia bunduki na yanatolewa na vyombo ya ulinzi na usalama(hapa nazungumzia majeshi ambayo ni jwtz, tpf, tps). kwenye mahojiano yao ukikiri unajua kutumia bunduki arooo umekwenda na maji.. utaeleza uipojifunzia unless uwe mtumishi wa majeshi au ulipita national service.
 
Kuna siraha aina nyingi sana inaanzia gobole, pump action, bastola, shortgun, SAR, SMG,(AK 47 , m4) , G3, LMG, Twelve, heavy machine gun, Fourteen... Ww unataka maelezo au unataka kumiliki siraha gani?

we utakua mjeda mkuu... ebu tiririka maana unaona hali ya Amboni Tanga si shwari sana
 
Mtoa mada nafikiri anataka kujua Principal nzima ya utaalam wa namna Bunduki ilivyoundwa, sasa ili kumsaidia tungeanza kumwelimisha namna GOBORE (Bunduki ya kienyeji) njinsi ilivyotengenezwa hadi inafikia kuua hadi Tembo.

Tunaamini Sayansi hutumia principal ile ile, kinachofanyika ni uboreshaji tu kutoka Gobore hadi kufikia hatua ya zile AK-47.

Tukimpata mwenye utalaam wa kutengeneza Gobore atatusaidia pa kuanzia.
 
Wewe tegesha Korodani zako halafu nizipige na risasi utajua jinsi gani inafanya kazi.
 

👏 👏 👏 hoja nzuriii mkuu na mimi na mshakaa na huyuu muungwanaa. wanausalama mumsogelee huyu kumbeee..
😯😈😈😬😬
 

,we Bado haujaivaa kama unamfundisha jambazi jeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…