Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,306
- 25,929
Amesema Rais Magufuli,baada ya kuwanyoosha wafanyakazi Serikalini anapaswa sasa kuwanyoosha wana-CCM ndani ya chama hicho.
NdiyoRai hiyo imetolewa na Jumuiya ya Wazazi ya CCM. Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo,Abdallah Bulembo,amewaonya wote wanaoshiriki jambo hilo kuacha mara moja.
Amesema Rais Magufuli,baada ya kuwanyoosha wafanyakazi Serikalini anapaswa sasa kuwanyoosha wana-CCM ndani ya chama hicho.
Wanaoafiki waseme NDIYO...
Wasioafiki waseme SIYO...
Mshauri mkuu wa Rais Magufuli katika masuala ya kisiasa za ndani na za kimataifa Mh.Abdala Bulembo amemshauri rais na mwenyekiti mtarajiwa wa CCM kuwaondoa wote wanaompinga na kupiga debe Magufuli asiwe mwenyekiti wa chama.Mh.Bulembo ametoa ushauri huo akihojiwa na ITV
Yaani Magufuli na PHD yake anashauriwa na mtu wa darasa la saba?Mshauri mkuu wa Rais Magufuli katika masuala ya kisiasa za ndani na za kimataifa Mh.Abdala Bulembo amemshauri rais na mwenyekiti mtarajiwa wa CCM kuwaondoa wote wanaompinga na kupiga debe Magufuli asiwe mwenyekiti wa chama.Mh.Bulembo ametoa ushauri huo akihojiwa na ITV