Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,432
- 139,497
Bulembo amejuaje mambo ya Hazina!?.Wewe mtoa hii mada unajua utaratibu wa Hazina kuwa na pesa?
Ngoja tusaidiane hapa kuondoa ujinga:
Kwa ufupi anayejua pesa za Hazina ma mwenye mamlaka ya kuzisemea ni kamishna wa bajeti wa wizara ya fedha.
Hazina ni wasimamizi tu na akaunti yao ipo banki kuu. Banki kuu kila siku inapokea pesa kutoka TRA...maana wote tunajua kuwa TRA inafanya makusanyo ya kila siku.
Kutoka TRA pesa zinaingizwa Banki kuu kila siku. Na zikifikishwa Banki kuu, kila siku zinatoka kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya serikali. Utaratibu wa miaka yote huu.
Je, hoja kuwa Hazina ina pesa pungufu au kidogo imetoka wapi!? Je makusanyo yamepungua huko TRA? Au mlidhani pesa za serikali uwa zinatunzwa tu!?
Hoja za kujiuliza:
Kama Hazina haina kitu...mishahara ya mwezi huu tumelipwaje?
Kama Hazina haina kitu...bodi ya mikopo imepata wapi pesa ya kulipa wanafunzi wa elimu ya juu wa kuanzia mwaka wa 1 hadi wa 5 kwa vyuo vyote nchini?
Kama Hazina haina pesa...shughuli za serikazi zinajiendeshaje?
Ukijiuliza hayo maswali...utapata picha kuwa pesa zipo ila serikali imeamua kubana matumizi na kuongeza makusanyo ili ahadi za rasi Dkt Magufuli zitekelezwe ikiwemo ya elimu BURE...tayari mashule yamepigwa MARUFUKU kukusanya michango ya aina yoyote kutoka kwa wanafunzi.
#HapaKaziTu
Haya maswali ya kijinga na utetezi wako wwenye kima cha upumbavu waulize watoto wako na mke wako ndiyo ambao akili zao zinaishia hapa.
Pumbavu.
Bulembo amejuaje mambo ya Hazina!?.Wewe mtoa hii mada unajua utaratibu wa Hazina kuwa na pesa?
Ngoja tusaidiane hapa kuondoa ujinga:
Kwa ufupi mmoja wa anayejua kuhusu pesa za Hazina na mwenye mamlaka ya kuzisemea ni kamishna wa bajeti wa wizara ya fedha.
Hazina ni wasimamizi wa mfuko mkuu wa serikali na akaunti yao ipo banki kuu. Banki kuu kila siku inapokea pesa kutoka TRA...maana wote tunajua kuwa TRA inafanya makusanyo ya kila siku.
Kutoka TRA pesa zinaingizwa Banki kuu kila siku. Na zikifikishwa Banki kuu, kila siku zinatoka kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya serikali. Utaratibu wa miaka yote huu.
Je, hoja kuwa Hazina ina pesa pungufu au kidogo imetoka wapi!? Je makusanyo yamepungua huko TRA? Au mlidhani pesa za serikali uwa zinatunzwa tu!?
Hoja za kujiuliza:
Kama Hazina haina kitu...mishahara ya mwezi huu tumelipwaje?
Kama Hazina haina kitu...bodi ya mikopo imepata wapi pesa ya kulipa wanafunzi wa elimu ya juu wa kuanzia mwaka wa 1 hadi wa 5 kwa vyuo vyote nchini?
Kama Hazina haina pesa...shughuli za serikazi zinajiendeshaje?
Ukijiuliza hayo maswali...utapata picha kuwa pesa zipo na zinaendelea kukusanywa kila siku, ila serikali ya awamu ya 5 imeamua kubana matumizi na kuongeza makusanyo zaidi ili ahadi za rais Dkt Magufuli zitekelezwe kwa wakatiikiwemo ya elimu BURE...tayari mashule yamepigwa MARUFUKU kukusanya michango ya aina yoyote kutoka kwa wanafunzi.
#HapaKaziTu
Haya maswali ya kijinga na utetezi wako wwenye kima cha upumbavu waulize watoto wako na mke wako ndiyo ambao akili zao zinaishia hapa.
Pumbavu.
Nyumbu kasoro mkia. Hapa kazi tu, MAJUNGU ufipa!Haya maswali ya kijinga na utetezi wako wwenye kima cha upumbavu waulize watoto wako na mke wako ndiyo ambao akili zao zinaishia hapa.
Pumbavu.
Unamlaumu mtoa mada badala ya Bulembo aliyetoa taarifa kuwa hazina haina pesa za kutosha kuendeshea serikali hadi ikatolewa kwenye gazeti Mtanzania?
Tafuta hilo gazeti usome halafu ubishane na Bulembo.
Acha kujotoa ufahamu wewe?
wakati unabubujikwa na povu waeleze pia Bulembo mtoa taarifa ni darasa la ngapiTatizo la kuishia darasa la saba halafu unataka kushindanisha akili zako na masters degree holder ndio hili.
Wewe wa darasa la saba unaposoma andiko la mtu uwe unatukia hizo akili zako za STD VII zitakusaidia kidogo...hapo kwenye andiko langu ni nani ambae nimemshangaa? Nimemshangaa huyo Bulembo amejuaje mambo ya Hazina!?
Ukiona mtu anakanusha alichokitamka ama kuandika mwenyewe na kinaonekana wazi ujue akili yake si nzuri ama elimu haijamkomboa.Tatizo la kuishia darasa la saba halafu unataka kushindanisha akili zako na masters degree holder ndio hili.
Wewe wa darasa la saba unaposoma andiko la mtu uwe unatukia hizo akili zako za STD VII zitakusaidia kidogo...hapo kwenye andiko langu ni nani ambae nimemshangaa? Nimemshangaa huyo Bulembo amejuaje mambo ya Hazina!?
Tatizo la kuishia darasa la saba halafu unataka kushindanisha akili zako na masters degree holder ndio hili.
Wewe wa darasa la saba unaposoma andiko la mtu uwe unatukia hizo akili zako za STD VII zitakusaidia kidogo...hapo kwenye andiko langu ni nani ambae nimemshangaa? Nimemshangaa huyo Bulembo amejuaje mambo ya Hazina!?
wakati unabubujikwa na povu waeleze pia Bulembo mtoa taarifa ni darasa la ngapi
Ukiona mtu anakanusha alichokitamka ama kuandika mwenyewe na kinaonekana wazi ujue akili yake si nzuri ama elimu haijamkomboa.
Angalia mstaria wa pili paragraph ya kwanza kabisa umehamishia lawama kwa mtoa mada.
wewe ni mpumbavu tu na ngojera zako,onyesha nilipomtumia Bulembo kama rejea.usinilinganishe na wewe mpiga debe humu.mimi hata nikihitaji current financial report ya hazina napataKazi za Bulembo ziliishia jukwaani kipindi cha kampeni. He was good at it. Huku serikalini aache hao waliopewa ridhaa wapige kazi.
Kabla sijatoa kiwango cha elimu ya Bulembo...pia nikushangae wewe! Iweje umtumie Bulembo kama reference kuhusu suala la Hazina..basi inabidi mashaka makubwa niwe nayo kwenye upeo na akili zako ikiwa zipo sawa ama lah.