Bulembo: Bajeti hii ni chereko chereko

Go baba Magufuli Go.

Achana na CHADEMA wameshindwa hata kujenga ofisi ya chama!;!
 
Huyu mzee napata shida kuhusu uwezo wake. Kwanza old technology itatupa shida sana, bora kuanzisha viwanda vipya. pili bajeti hii ni mbaya hata kama hufanyi biashara au si mwajiriwa utalipa kodi. Issue za huduma mihamala tunalipa kodi. Serikali inataka kuvuna kwa vitu ambavyo haijapanda...
 
Wazee wengine wameshazeeka kiasi kwamba wanafanya ujinga wakijua wanakufa kesho kutwa.

Hawana hasara. Hawajali vizazi vijavyo.
 

Sio kosa la Bulembo.

Hapo wenye kosa ni ITV waliomfuata.

Bulembo yeye ametimiza wajibu wake. Ameitazama bajeti kwa jicho la kisiasa tena kwa mrengo wa kichama zaidi na amechagua mambo hayo mawili aliyoyaelewa kirahisi.

Walitegemea asiisifie bajeti tena mbele ya kamera?
 
Hivi unategemea Bulembo ataacha kuisifia serikali ya mfalme?
bulembo bint yako kazawadiwa ubunge akiwa na miaka 21 tu sasa huyu mtu unategemea atakosoa nini?
 
Sasa naanza kumwelewa Magufuli, kuwa kwa nini alisema hii nchi ipo ilipo sababu ya viongozi wachache wazee.

Japo mimi wazee wangu naheshimu michango yao.!
 
Labda sio mchumi huyo ndio maana anaisifia bajeti hii ambayo inahatarisha uchumi wa nchi
 
Hivi unategemea Bulembo ataacha kuisifia serikali ya mfalme?
bulembo bint yako kazawadiwa ubunge akiwa na miaka 21 tu sasa huyu mtu unategemea atakosoa nini?
kama mtoto wa ndesamburo alivyozawadiwa ubunge na chadema
 
Hivi anaelewa hiyo bajeti inaongelea nini maana bila madarasa hutajua chochote. Utasifia tu
 
Bajeti imemuamsha. Au kakurupuka kwa nakoz za wabunge wa ccm zinazopasua meza baada ya naibu mteule kuzuia posho za wanaokimbia harufu ya vinywa vya wapiga nakoz vinavyonuka viroba. Ndiyo harufu ya viroba. Si posho zinatoka kwa manati siku hizi?! Habari za siku meneja
 
Ulitegemea aseme kuwa ni mbaya? Aliyekwenda kumdahili lazima alitoka na bahasha ya khaki. Siku nyingi kapotea kwenye dira, wala haonekani. Mbona hakusemea zile ARVs fake? Yaani mijitu mingine, kuanzisha /kuamsha hasira za watu tuuu
 
Wanamacho hawaon wanamasikio hawa sikii
 
kwa yeye kusema hayo ni kawaida kabisa.
ushabiki umejikita sana katika maoni ya watu kuhusu bajeti lakini wakati wa kuitekeleza kila mtu atsema tofauti. atayepata.. atayechomolewa .. atakayetozwa .. kwa watu tofauti, mahali tofauti na muda tofauti let us wait.
 
Sasa Bulembo ataongea nini? Ndo upeo wake wa kuchambua bajeti ulipoishia. Tatizo shule kichwani,tusimlaumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…