Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,162
- 138,363
Kuna kupanga na kutimiza tuombe Mungu mambo yawe mazuriKwanza anaanza kwa kuipongeza bajeti. Anasema bajeti hii ni chereko chereko kwa wananchi wote. Namnukuu "Tiyari(sio tayari) milioni 50 kila kijiji,tiyari mahakama ya mafisadi"
Hapa nitahitaji Maelezo ya kinaMkwe anapojitoa ufahamu hadharani hukwaza sana
Tehtehteh [emoji16][emoji16][emoji16]Hii bajeti nzuri sana....imejikita kwenye ujenzi wa viwanda......tanzania ya viwanda inakuja tuvute subira
Hivi unategemea burembo ataongea nini zaidi ya kuoa pongezi kwa serikali ya CCM?Kwanza anaanza kwa kuipongeza bajeti. Anasema bajeti hii ni chereko chereko kwa wananchi wote. Namnukuu "Tiyari(sio tayari) milioni 50 kila kijiji,tiyari mahakama ya mafisadi".
Akiongea na ITV ofisini kwake Bulembo anasema ahadi zitatekelezwa.
MY TAKE:Wana CCM jikiteni kwenye uchambuzi badala ya kuongea mambo jumla jumla tena juu juu.
Aisee kumbe tupo wengi wa aina yakoShule ni kitu cha msingi sana, Kamwe huwa simsikilizaji.