Bulembo atoa amri halali kusaidia kuangamiza CHADEMA

Hivi huko hakuna wabunge? Madiwani? Na wenyeviti? Kwanini wasihamasishe kujenga shule nyingine za kwao za wanachi za kata na kuachana na hizo za MACCM japo nazenyewe ni wameiba nguvu za wananchi ?

Shule zipo za Kata ila hoja hapa ni kwamba zile shule zilizojengwa kwa nguvu za umma na baadae kupokwa ba CCM nazo zinaelekea kufa licha ya kuwa shule hizo zilikuwa zikifanya vizur kwani zilikuwa na uchum kwa kuwa na vitega uchum na n tofaut na za kata kwani utoaji wake wa elim ulikuwa umejitosheleza sana ukilinganisha na hizi zinazoanzishwa wakati huu zinaitwa za Kata na zilikuwa zikifanya vizuri.


Na kwa hiyo hizi shule kuelekea kufa na kufanya vizur n kipimo tosha cha uongozi mbovu wa Bulembo pamoja Makatibu wengine waliopita ambao kazi yao ni kutafuna pesa za shule hizo na kuwavalisha wakuu wa shule manguo ya kijani.
 
Shule zipo za Kata ila hoja hapa ni kwamba zile shule zilizojengwa kwa nguvu za umma na baadae kupokwa ba CCM nazo zinaelekea kufa licha ya kuwa shule hizo zilikuwa zikifanya vizur kwani zilikuwa na uchum kwa kuwa na vitega uchum na n tofaut na za kata kwani utoaji wake wa elim ulikuwa umejitosheleza sana ukilinganisha na hizi zinazoanzishwa wakati huu zinaitwa za Kata na zilikuwa zikifanya vizuri.


....


Hapo kwenye red, hakuna shule yoyote (angalau hizo zilizotajwa ambazo ni za zamani na zote ziko mkoani Kilimanjaro) iliyowahi kufanya vizuri. Ni Namfua (sio Namvua)? Hili lilikuwa lishule la kilimo (agriculture) na kati ya mashule mabovu mno tangu enzi na enzi. Inapatikana kule Tarakea wilayani Rombo.

Ni Kibo Sec? Hii ilikuwa (sijui kama imehama siku hizi) pale maeneo ya stendi Moshi Mjini na kati ya mashule yalikuwa yanafuga malaya badala ya kulea wananfunzi kitaaluma. Enzi hizo wahuni wa Moshi wakijisikia "kutembea" na malaya aliyesoma unaenda pale Kibo na mambo yako yanakuwa poa.

Hizo nyingine sijui Kahe, Mangia, Wari ni takataka sitaki hata kuzijadili hapa. Mbona hao CCM wenyewe hawawapeleki watoto wao kwenye hizo shule zao? Tuache kudanganyana jamani.
 
Mbona mimi namfahamu vizuri, kwa maana ni rafiki yangu tangu tupo wadogo na pale Nyasho nyumba zetu zilikuwa zikitizamana,
Kwetu ni pale kwa Mzee Kisunda/Mzanaki wa Buhemba,

Kuuza mitumba kunamzuia mtu kuingia katika SIASA ama ni chuki tu binafsi?

Hata mm namfahamu vizuri na labda tungeingia kwa majina yetu halali humu hata na ww likely tunafahamiana!

Hoja yangu hapa Je Bulembo kasoma hadi darasa la ngapi?Je Bulermbo anajua kusoma na kuandika?Kama si mambo ya soka akiwakilisha mkoa wa Mara jamaa huyu angefika hapa kwenye siasa?Je tushangae hizi kauli zake au ndiyo alivyo?

Kumpa Bulembo nafasi ya uongozi wa CCM-Kitaifa ni kielelezo kingine kuwa CCM imeishiwa watu wenye weledi!!
 
Back
Top Bottom