Bulembo ahatarisha amani ya nchi, achukuliwe hatua!

Asante sana mkuu kwa kuliona hilo.Ngoja niweke sawa alivyosema "Vyote tutawapa lakini sio ikulu".
Binafsi nilishangaa sana na kuhoji ile kauli ina maana gani bila majibu!Huyu gamba ahojiwe na aeleze alikuwa na maana gani kusema vile.
 
Nacc tunamwambia Ikulu c mali yake ni mali yetu na cc tumeamua kumweka lowasa sasa tuone atafanya nn? Pia akamtimtishe mama ake na bibi yake
 
Ndio nani huyu? Mbongo flavor ama?
 
Ndio nani huyu? Mbongo flavor ama?

Si nani mkuu ..ni ishu 'serious'kutok kwa makada wa ccm..na hizo kauli hazikemewi..hawa wanadhan wanahatimiliki ya ikulu!haitoshi kumkemea tuu bali tutamwonesha kua ikulu nayo wataiacha.
 
Safari hii hatudanganyiki watanzania tumeamua kumpeleka Lowassa Ikulu kwa gharama zetu wenyewe pasipo kutegemea gharama za mtu yeyote wa kijani,kama hawatakuwa tayari kukabidhi Ikulu kwa mtu ambaye watanzania tumehiari kumpeleka Ikulu,wao watafute nchi ya kwenda kuishi ambayo hawatakuwa tayari kuachia Ikulu,kama ni Tanzania hiihii tutanyooka nao mtaa kwa mtaa mpaka rangi zao za kijani hazita kuwa kijani tena tutazigeuza na kuwa nyekundu.
 
hizo kauli za bulembo ni za kichochezi,zitampeleka ICC-The hague,ni suaLa la wakati tu
 
Safari hii hatudanganyiki watanzania tumeamua kumpeleka Lowassa Ikulu kwa gharama zetu wenyewe pasipo kutegemea gharama za mtu yeyote wa kijani,kama hawatakuwa tayari kukabidhi Ikulu kwa mtu ambaye watanzania tumehiari kumpeleka Ikulu,wao watafute nchi ya kwenda kuishi ambayo hawatakuwa tayari kuachia Ikulu,kama ni Tanzania hiihii tutanyooka nao mtaa kwa mtaa mpaka rangi zao za kijani hazita kuwa kijani tena tutazigeuza na kuwa nyekundu.

Utakuwa na mtindio wa ubongo ww,umeshindwa kabla ya uchaguzi
Kwa kioja hiki uliyoiwakilisha
 
Asante sana mkuu kwa kuliona hilo.Ngoja niweke sawa alivyosema "Vyote tutawapa lakini sio ikulu".
Binafsi nilishangaa sana na kuhoji ile kauli ina maana gani bila majibu!Huyu gamba ahojiwe na aeleze alikuwa na maana gani kusema vile.

Ana maana ya alichokisema, tatizo ni nini?

Tuwawachie Ikulu kwa lipi zaidi?

Tunahakikisha Magufuli anaingia Ikulu kwa tiketi ya CCM, si vingine.
 
Juzi katika mkutano wa kampeni wa ccm mkoani tabora, BULEMBO, amesisitiza kua katu,hawawez kutoa IKULU kwa wapinzani"

Bulembo ni wa kuupuuzwa sio mtu wa kutilia maanani maneno yake.Kama yangetamkwa na JPM yangekuwa na uzito lakini Bulembo mpuuzeni maana ndio uwezo wake umefikia hapo.
 
Ana maana ya alichokisema, tatizo ni nini?

Tuwawachie Ikulu kwa lipi zaidi?

Tunahakikisha Magufuli anaingia Ikulu kwa tiketi ya CCM, si vingine.

Sasa uchaguzi wa nn kufanyika? Kuna sababu gani za kutokomeza kodi za walalahoi? Gharika linaposhuka watu hunena kwa lugha ni hili linaonekana wazi kwa CCM kushindwa mapema!!!!!!! Mmeliwa safari hii
 
Msikilizeni JPM msiwasikilize wapambe wanaojipendekeza ili waje wafikiriwe baadae.mtu makini hawezi kumsikiliza Bulembo msameeni bure.
 
Asante sana mkuu kwa kuliona hilo.Ngoja niweke sawa alivyosema "Vyote tutawapa lakini sio ikulu".
Binafsi nilishangaa sana na kuhoji ile kauli ina maana gani bila majibu!Huyu gamba ahojiwe na aeleze alikuwa na maana gani kusema vile.

Alikuwa na maana hiyo hiyo, ikulu cyo sehemu ya kufuga vibaka!!!
 
Mimi binafsi naona anamwaribia JP ni afadhali angemtoa kabisa kwenye kampeni zake
 
NAPE: "Tutashinda hata kwa goli la mkono!" Maana yake tutachakachua matokeo ikibidi.
BULEMBO: "Katu hatuwezi kuwaruhusu wapinzani kuingia Ikulu!" Maana yake tutatumia nguvu ukibidi.

Hizi ni kauli kutoka kwa viongozi waandamizi wa CCM! Hatari tupu!!
 
Asante sana mkuu kwa kuliona hilo.Ngoja niweke sawa alivyosema "Vyote tutawapa lakini sio ikulu".
Binafsi nilishangaa sana na kuhoji ile kauli ina maana gani bila majibu!Huyu gamba ahojiwe na aeleze alikuwa na maana gani kusema vile.

Yaonyesha: Magamba wameshanusa watashindwa.
 
Back
Top Bottom