Bulembo aendelea kuvuruga amani Makambako

Hivi kwa nini police wasikamate hao wanaokashifu na kutoa matusi kwa viongozi wastaafu wa nchi hii.
 
Yehodaya acha ukilaza na wewe, Huyo kilaza mwenzio asingeleta kashfa kwa EL wangezomewa????? Kuzomewe ilikuwa stahiki yao. Peopleeeeeeeez

Hakutowa kashfa alitoa UKweli Lowasa anatakiwa kwenda hospitali sio Ikulu.Na kumtendea haki inabidi anyimwe kura ili apate muda wa kujitibia.Mlitakiwa mumuzomee Lowasa kwa kumwambia katibiwe,katibiwe,katibiwe badala ya kumzomea Bulembo.
CHADEMA hamna huruma na mgonjwa Lowasa mnamtembeza kwenye majukwaa hivi CHADEMA mkishika nchi mtahurumia wagonjwa kweli? Kama mumeshindwa kuhurumia mgonjwa Lowasa itakuwaje kwa watu wa kawaida? Si mtawafanyisha kazi hata kama wako ICU.

CHADEMA kitendo tu cha kumfanyisha kazi mgonjwa Lowasa na kumtembeza mgonjwa yule ni laana tosha ya CHADEMA kunyimwa kura kuanzia udiwani,ubunge hadi uraisi.

CCM walimkata kwa kumhurumia kuwa apate muda wa kujitibia kwani kina huruma na afya yake CHADEMA hamna huruma na afya ya Lowasa sio siri.Mwenyezi Mungu awalaani CHADEMA usiku na mchana kwa kutokuwa na huruma na mgonjwa Lowassa.

Hiyo zomea zomea mliyoanza CCM ikianza msije piga yowe
 
Hivi kwa nini police wasikamate hao wanaokashifu na kutoa matusi kwa viongozi wastaafu wa nchi hii.

Wacha hizo hivi akiweko waziri mkuu mstaafu anaumwa dege dege watu wasiseme kuwa waziri mkuu mstaafu ana degedege au ugonjwa wa kuharisha.Kashfa iko wapi hapo?
 
Hakutowa kashfa alitoa UKweli Lowasa anatakiwa kwenda hospitali sio Ikulu.Na kumtendea haki inabidi anyimwe kura ili apate muda wa kujitibia.Mlitakiwa mumuzomee Lowasa kwa kumwambia katibiwe,katibiwe,katibiwe badala ya kumzomea Bulembo.
CHADEMA hamna huruma na mgonjwa Lowasa mnamtembeza kwenye majukwaa hivi CHADEMA mkishika nchi mtahurumia wagonjwa kweli? Kama mumeshindwa kuhurumia mgonjwa Lowasa itakuwaje kwa watu wa kawaida? Si mtawafanyisha kazi hata kama wako ICU.

CHADEMA kitendo tu cha kumfanyisha kazi mgonjwa Lowasa na kumtembeza mgonjwa yule ni laana tosha ya CHADEMA kunyimwa kura kuanzia udiwani,ubunge hadi uraisi.

CCM walimkata kwa kumhurumia kuwa apate muda wa kujitibia kwani kina huruma na afya yake CHADEMA hamna huruma na afya ya Lowasa sio siri.Mwenyezi Mungu awalaani CHADEMA usiku na mchana kwa kutokuwa na huruma na mgonjwa Lowassa.

Hiyo zomea zomea mliyoanza CCM ikianza msije piga yowe

Wewe ni popoma. Ccm pumzi imekata mtaisoma namba tarh 25
 
Wacha hizo hivi akiweko waziri mkuu mstaafu anaumwa dege dege watu wasiseme kuwa waziri mkuu mstaafu ana degedege au ugonjwa wa kuharisha.Kashfa iko wapi hapo?

mabusha vp mkuu mbona umesahau?
 
Hakutowa kashfa alitoa UKweli Lowasa anatakiwa kwenda hospitali sio Ikulu.Na kumtendea haki inabidi anyimwe kura ili apate muda wa kujitibia.Mlitakiwa mumuzomee Lowasa kwa kumwambia katibiwe,katibiwe,katibiwe badala ya kumzomea Bulembo.
CHADEMA hamna huruma na mgonjwa Lowasa mnamtembeza kwenye majukwaa hivi CHADEMA mkishika nchi mtahurumia wagonjwa kweli? Kama mumeshindwa kuhurumia mgonjwa Lowasa itakuwaje kwa watu wa kawaida? Si mtawafanyisha kazi hata kama wako ICU.

CHADEMA kitendo tu cha kumfanyisha kazi mgonjwa Lowasa na kumtembeza mgonjwa yule ni laana tosha ya CHADEMA kunyimwa kura kuanzia udiwani,ubunge hadi uraisi.

CCM walimkata kwa kumhurumia kuwa apate muda wa kujitibia kwani kina huruma na afya yake CHADEMA hamna huruma na afya ya Lowasa sio siri.Mwenyezi Mungu awalaani CHADEMA usiku na mchana kwa kutokuwa na huruma na mgonjwa Lowassa.

Hiyo zomea zomea mliyoanza CCM ikianza msije piga yowe

Sasa mkubwa jifunze tu kwamba swala la afya ni la Mungu. Wewe afya njema uliyo nayo umejaliwa na Mungu.

Sasa ujue kuwa wewe mwenye afya njema unaweza kutangulia ukamuacha yule unayemwona kuwa mdhaifu.

Ndugu yangu chunga ulimi usikuletee matatizo na pili mshukuru Mungu kwa afya njema uliyonayo na sio kuwaringishia wengine.
Haaaaaya.
 
Hakutowa kashfa alitoa UKweli Lowasa anatakiwa kwenda hospitali sio Ikulu.Na kumtendea haki inabidi anyimwe kura ili apate muda wa kujitibia.Mlitakiwa mumuzomee Lowasa kwa kumwambia katibiwe,katibiwe,katibiwe badala ya kumzomea Bulembo.
CHADEMA hamna huruma na mgonjwa Lowasa mnamtembeza kwenye majukwaa hivi CHADEMA mkishika nchi mtahurumia wagonjwa kweli? Kama mumeshindwa kuhurumia mgonjwa Lowasa itakuwaje kwa watu wa kawaida? Si mtawafanyisha kazi hata kama wako ICU.

CHADEMA kitendo tu cha kumfanyisha kazi mgonjwa Lowasa na kumtembeza mgonjwa yule ni laana tosha ya CHADEMA kunyimwa kura kuanzia udiwani,ubunge hadi uraisi.

CCM walimkata kwa kumhurumia kuwa apate muda wa kujitibia kwani kina huruma na afya yake CHADEMA hamna huruma na afya ya Lowasa sio siri.Mwenyezi Mungu awalaani CHADEMA usiku na mchana kwa kutokuwa na huruma na mgonjwa Lowassa.

Hiyo zomea zomea mliyoanza CCM ikianza msije piga yowe

Akili za mbayu wayu mada fantaro ukawa mbele kwa zote hapa mabadiliko tuu nyie ccm inawafaa HAPA MATUSI TUU ILAN BAADAYE
 
Back
Top Bottom