Bukuba Kuna nini jamani.

Bukuba Kuna nini jamani.

The Only Kilo

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2010
Posts
352
Reaction score
87
Nimeibiwa laptop aina ya hp hapa bukoba mjini byekera maeneo ya kasarani. Ina window 8.1 pro kwa aliyeiona au kuichukua nitext 0715 276 275 au 0765 276 275. Hasante kwa upendo na kujali
 
angalia heading yako. na ni byekela? ama buyekela? ina maana hakuna computer nyingine yenye window 8.1 pro. ni yako tu. pole lakini.
 
Pole sana, Mungu akusaidie uipate
 
Back
Top Bottom