The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,799
- 1,681
Hivi unajua kwanini Hali ya hewa ya bukoba haibadiri na inabaki kijani mda wote bila ya kiangazi.ni Kwa sababu ya tabia hii ya kujenga huku mazingira yakitunzwa na naturality bila kupoteaView attachment 1013170
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ndio inaanza kujengeka,afu porini balaa Moshi yote Hakuna pori hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi ongea history ya ukristu Tanzania bila kuitaja bukoba
Kwanza seminary ya Kwanza tz Rubya
Seminary kuu ya Kwanza ya mtakatifu Leo Rubya
Mapadre wa kwanza tz wanatoka bukoba
Askofu wa kwanza mtanzania bukoba
Kardinali wa Kwanza mweusi duniani bukoba
Askofu mkuu wa kwanza balozi wa papa bukoba
Nadhani mpaka Pope WA Kwanza mweusi atatoka bukoba
Kumbuka bukoba ni white fathers waliotoka uganda hebu tazama hiyo picha uamini niliokwambiaView attachment 1013124
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Acha kujidanganya kijana,hilo kanisa lingejenwa wakati huo lingekuwa kwenye historia ya ukristo Tanzania....,
Ukristo uliingia Tanganyika 1868 pale Bagamoyo na kujengwa kanisa la kwanza ukielekea Kaskazini mpaka Kilema 1880-85 palipo simikwa kanisa la pili then Kibosho 1892-93,baada ya hapo walijigawa wengine walitembea na reli ya kati mpaka Tabora ndipo walipotawanyika tena kuelekea lake zone hiyo ilikuwa 1900s....,sasa ukisema kanisa limejengwa 1892 ni uongo.
Ngoja niitafute hiyo historia ya kanisa kisha nii attach humu uone jinsi unavyopotosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Walau wew unaongea Kwa fact na ushaidi.ila hicho cha mwisho sijui Stefano na kingine mbona majengo yake kama shule?Universities and university colleges in Moshi
KCMC
View attachment 1013230
Moshi Co-operative University (MUCO)
View attachment 1013234
Mwenge Catholic University (Mwekau)
View attachment 1013236
Mweka Wildlife College (MWICO)
View attachment 1013244
Stephano Moshi University College (STAMUCO)
View attachment 1013245
Si mnakuwaga na mbwembwe? Dawa ni kuwaumbuaKwani moshi imepakana na Bukoba ? Mbona kila kitu cha moshi mnalinganisha Bukoba hacheni uzwazwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bk level yake ni tarime chek bk mjin mabanda ya mabanzi katikati ya mjiKwa kuwa hamuijui Bukoba mpo mnajifariji humu, basi ngoja niwaonjeshe kidogo ili mapovu yawatoke vizur View attachment 1013215View attachment 1013216View attachment 1013217View attachment 1013218View attachment 1013219View attachment 1013220View attachment 1013221View attachment 1013222View attachment 1013223View attachment 1013224View attachment 1013225View attachment 1013226View attachment 1013227
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkoa wa kagera hawana chuo kikuu kamili hata kimoja,Wana vitawi 2 vya chuo josia kibira na saut tawi la bukoba Hawa watu wanatia hurumaUniversities and university colleges in Moshi
KCMC
View attachment 1013230
Moshi Co-operative University (MUCO)
View attachment 1013234
Mwenge Catholic University (Mwekau)
View attachment 1013236
Mweka Wildlife College (MWICO)
View attachment 1013244
Stephano Moshi University College (STAMUCO)
View attachment 1013245
Hahaha wahaya watakufa presha Sasa waombe poo haraka wachaga level yao ni LondonNimekumisss Marangu Kijijini Ebu Angalia Manzari Dah!
Wahaya Ebu Kaeni pembeni, we're really blessed black jews in Tanzania.View attachment 1013266View attachment 1013267View attachment 1013268View attachment 1013273View attachment 1013269View attachment 1013271View attachment 1013272View attachment 1013274View attachment 1013276View attachment 1013285View attachment 1013288
Sent using Jamii Forums mobile app
Stéphane ni chuo kushirikiWalau wew unaongea Kwa fact na ushaidi.ila hicho cha mwisho sijui Stefano na kingine mbona majengo yake kama shule?
Sent using Jamii Forums mobile app
Engineer soma hiyo Moshi,Bk level yake ni tarime chek bk mjin mabanda ya mabanzi katikati ya mjiView attachment 1013297
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatuletea hotel hapa tunataka vijiji vyenuNimekumisss Marangu Kijijini Ebu Angalia Manzari Dah!
Wahaya Ebu Kaeni pembeni, we're really blessed black jews in Tanzania.View attachment 1013266View attachment 1013267View attachment 1013268View attachment 1013273View attachment 1013269View attachment 1013271View attachment 1013272View attachment 1013274View attachment 1013276View attachment 1013285View attachment 1013288
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kuongelea marangu bila hotel, tuoneshe na nyie huko vijijini tupimane.
Pole Sana,mkikolala ndiko tulipoamkia, mlikofulia ndipo tulipoanikiaWe hata hujui unaloliongea unajisemea tu siku ziende, kitovu cha uinjilishaji hapa tz ni rubya, Bukoba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo hôtel zipo mjin? Si zipo vijijin? Ngoja tuwaletee za makaz ya watu ndio mtazimia kabisa andaeni wakuwapepea