luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,701
- 8,906
Hahaha sasa mji gan ulishaona Kuna uzio wa seng'enge mjin ?Ule uzio wa sengenge huo hapo ni wa mabweni ya wasichana wanaosoma bukoba secView attachment 1012004
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa yako ni kukuumbua haya kuja hapa na utusomeeYalete hapa hayo matokeo na mikoa uumbuke sasa! Mi sipendagi mtu muongo muongo. Na kwa hili ntabishana hadi kesho!
Sent using Jamii Forums mobile app
Turudi kule nikupe za uso hapo chini nimekuwekea picha za ujenzi na ukarabat wa barabara hizo km 200 vijijin Jimbo Zima la vunjoKama kwenye ule uzi umetuumbua turudi kule basi! Kama utathubutu kutia mguu
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha za jiji tarajiwa la moshi ccPicha ni chache kukiko makelele, wekeni picha basi maandishi tunzeni kwenye mifuko yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa nakupa za wilaya ya siha nikikupa za Moshi mjin utazimiaView attachment 1012427View attachment 1012426Utadhani ni masaki kumbe ni bukoba tena nje ya mji huko bunenaView attachment 1012058View attachment 1012059View attachment 1012060
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona porini Sana? Mamilima kibaoUtadhani ni masaki kumbe ni bukoba tena nje ya mji huko bunenaView attachment 1012058View attachment 1012059View attachment 1012060
Sent using Jamii Forums mobile app
We umelewa rubisi check bukoba yako ilivyoozaView attachment 1012432View attachment 1012433Wewe acha uongo hivyo vilabu tu huwezi linganisha na vijiji vya bukoba kama katerero,kyetema meizigela,kiziba mbunda na lkondo byai
Sent using Jamii Forums mobile app
Tembea ht vijiji vya moshi.
Rombo
Kilema
Mwika
Marangu
Tarakea
Machame
Boma
Sanya
Sadala
Hizo vijiji huwezi fananisha na bukoba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisée Kilimandjaro ni hbr NYINGINEWaambie na waonyeshe barabara ya kwanza Tanzania kuwa na double road.( hapo double road Moshi) pia ikiwezekana tupia picha za Jengo la Kwanza Tanzania kuwa na huduma ya lift, (KNCU building)
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unaweza fananisha huko porini kwenu bk na jiji tarajiwa lá moshi? Check tu mjin bukoba palivyooza
We umelewa rubisi check bukoba yako ilivyoozaView attachment 1012432View attachment 1012433View attachment 1012434
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi vya juz tu moshi tangu miaka ya 1970's vilikuwepo vya kubangua kahawa na jengo la kncu Kilimanjaro ndio jengo la kwanza tz kuwa na liftMlishatembea tz lakini .na hivi viwanda vya kahawa huko bukoba tanica na amri Amza ni nini? Eti hakijawahi tokea ? Mnachekesha kweliView attachment 1012313View attachment 1012314
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nimuumbue haya asome hapaMmezoea kufanyiwa kila kitu sababu ya Kuwa na akili tegemezi; nenda baraja la mitihani utafute matokeo ya form !V ya Mwaka jana utana Kilimanjaro ilivyo wavuruga!!
Nipo nakuangalia Tu . Bukoba mjini hakuna sehemu isiyokuwa na lami .hebu tazama eneo Hili utadhani masaki kumbe ni kafuti na bunena huko bukobaSasa unaweza fananisha huko porini kwenu bk na jiji tarajiwa lá moshi? Check tu mjin bukoba palivyoozaView attachment 1012440View attachment 1012442
Sent using Jamii Forums mobile app