Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Nakumbuka vizuri kuna chama kimehusika katika miaka ya nyuma kuua zao la kahawa wananchi wakakasirika wakafyekelea mbali kahawa zote

Na mwingine hivi karibuni kasema maendeleo mikoa ya kaskazini yapo muda mrefu tusubiri na sehemu nyingine ziendelee kwanza.

Utaona hizi zote ni juhudi za dhati za kurudisha nyuma kimaendeleo mikoa ya kaskazini na tunatakiwa tusichoke wala kukatishwa tamaa.

Naomba tu ile hasira ya kukata miti ya kahawa isije kuhamia kwenye kukata mikorosho


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini wasiandae petition kuwe na kura za maoni kudai mamlaka yao kamili kwenye hilo dola la kichagga?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimewaza kitu hapa,kumbe kasikazini ingetoa ikawa nchi baada ya kuondoka wakoloni ingekuwa imeendelea sana kama SA
 
Kiwanda cha kubangua kahawa! Mnatisha, ndicho kiwanda pekee duniani na hakitatokea kingine.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…