luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,701
- 8,906
Hahaha mkuu imebidi nitumie nguvu maana vijamaa vya bukoba vibishi mno huwa vinafananishaga kimji chão kilichojichokea na jiji tarajiwa moshiHakuna haja ya kutumia nguvu nyingi ,Bukoba ni takataka mbele ya Moshi.
Nimemuona mubashara bila Shaka ni mjerumaniUkiachana na muonekano wa iyo stendi uyo mzungu hapo na pensi yake umemuona??
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kujazia nyama*Malisa ampinga Polepole kwa fact*
Huyu dogo ameanza kuchanganyikiwa. Moshi ilianza kuendelea zamani za pontio pilato kabla ya ujio wa Dr.Livingstone na Gavana Edward Twining.
Mwaka 1902 barabara zinazounganisha mitaa mbalimbali ya Moshi zilikuwa na lami, enzi hizo CCM haijazaliwa, mama yake TANU wala bibi yake TAA.
Mwaka 1895 Ikulu ya kwanza ya kisasa ya Mangi mkuu wa wachagga ilijengwa eneo la KDC Moshi. Ikulu hiyo hadi sasa ndiyo inayotumika kama Ikulu ndogo ya Rais akija mkoani Kilimanjaro.
Mwaka 1917 dola ya wachagga ilikuwa na mfumo rasmi wa serikali na baraza la mawaziri, ikiwa ni pamoja na ofisi na magari kwa watendaji waandamizi wakiwemo mawaziri. Ofisi za mawaziri ndio zinatumika leo kama ofisi za halmashauri ya wilaya ya Moshi.
Miaka 100 iliyopita Moshi kulikuwa na viwanda mbalimbali kikiwemo kiwanda kikubwa zaidi cha kubangua kahawa eneo la Afrika Mashariki. Mwaka 1940 dola ya wachagga tayari ilikuwa na gazeti lake (Komkya), lililokuwa likisomwa maeneo yote ya wachagga kuanzia Siha hadi Rongai. Gazeti hilo liliandikwa kwa lugha ya Kiswahili.
-
Kufikia mwaka 1950 karibu kila kata au tarafa ilikuwa na shule ya sekondari, zahanati au kituo cha afya pamoja na kanisa la kisasa, kuanzia Siha mpaka Tarakea. Sio zote lakini nyingi zilikuwa na shule zilizojengwa na wamisionari miaka mingi sana iliyopita.
Wakati chakubanga na babu yake wanatembea kilomita 50 kwenda kuchoma chanjo ya tetekuwanga, wazee wa kichagga walikua wakipata huduma za afya kwenye vituo vya afya vya mission vilivyopo kwenye kata/tarafa zao.
Leo mtu mmoja pengine kwa sababu ya kukosa chanjo ya pepopunda anaropoka kwamba maendeleo ya Moshi yameletwa na CCM? What a shame.!!
-
Kimsingi CCM na serikali yake zimezorotesha maradufu maendeleo ya Moshi kuliko wakati mwingine wowote katika historia. Moshi ya wakati ule (kama dola yenye mamlaka kamili), na Moshi ya leo (kama wilaya) ni vitu viwili tofauti. Moshi ingeachwa kuwa dola huru kama ilivyokuwa zamani, ingekuwa na maendeleo maradufu kuliko leo.
Halafu kama kweli CCM inaleta maendeleo, mbona kuna mikoa haijawahi kuchagua upinzani na bado haina maendeleo? Kwanini maendeleo hayo CCM isipeleke kwenye ngome zake? Next time mwambieni kabla hajabwatuka ajifunze historia kdg.!!!!!!!!!
Source instagram:Malisa_gj
Hahaha anaonekana Ana msongo wa mawazoHao ni mmoja wa wale wakoloni ambao hawakuwa wameamini bado kwamba wanatakiwa kuondoka Moshi na kurudi kwao.
Thanks mkuu tuitunze history ya mkoa wetu wale wenye chuki na sisi wazidi kuumbukaExactly yaani hii ndiyo moshi kielelezo cha kwanza ni ile keria ya Leyland ilikuwa inaitwa mombasa rahaaa miaka ile jamani maisha ya zamani yalikuwa babukubwaa kinoma, kielelezo kingine ni theluji ya mlimani ilikuwa kibao tofauti na sasa hivi wanadai mambo ya tabia nchi ukipanda mlima hushuki hata na kibakuli ya barafu. yaani hiyo miaka ukiangalia hiyo manzari utafikiria ni asubuhi kumbe saa kumi na moja ya jioni wazee walitunza mazingira big up my young broda luambo makiadi kwa hisani ya maktaba yako.
Sent from my SM-E500H using JamiiForums mobile app
Pote ni TZHahaha mkuu imebidi nitumie nguvu maana vijamaa vya bukoba vibishi mno huwa vinafananishaga kimji chão kilichojichokea na jiji tarajiwa moshi
Sent using Jamii Forums mobile app
inaelekea jamaa sio mtanganyika huyu,kwamba hajui mabeberu walitupa taraka rejea lini😳😳1971 ni miaka 10 baada ya Uhuru
Niko hapa mkuu na leo niko huku kwa wapenda ligi wenzio kina nshomile
Wakuu ili kudhibitisha mkoa wa Kilimanjaro ni ngome ya maendeleo tangu enzi na enzi,ninaomba kuwasilisha picha ya kituo Cha mabasi Moshi ya mwaka 1971
*NB* wale Wala senene waliokuwa wanafananisha Moshi na mji wao wajitafakari
Cc
instanbul
britanicca
Come27
Sky EclatView attachment 1011553
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnatuchosha na hizi nyuzi jamani. Hebu fikirieni hata vingine vya maana vya kupost. Kila siku Moshi, Bukoba, Kilimanjaro, Bukoba.
Sasa kuna haja ya kufananisha na Bukoba? Mbona kama akili yenu imegandia Kagera? Wahaya waliwabaka?? Mbona kila siku wao?? Nadhani ni wakati wenu wa kujipima.Naam unaionaje stand inavyovutia? Hadi Leo Kuna wilayan Hakuna stand kama hii ya Moshi ya 1971 mfano bukoba
Cheki picha hapo chini ni stand ya bukoba ya leoView attachment 1011570
Sent using Jamii Forums mobile app