Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Waongo sana picha hawana wanaleta porojo



Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
Nimetoka huko juzi juzi tu... Mji uko vile haujaongezeka chochote ukiacha lile jengo jipya la NSSF kidogo ndio limebadilisha mji kidogo.....

Tofouti ya moshi ya mwaka 2010 na 2017 ni kuongezeka kwa jengo la NSSF labda kidogo na club Redstone....
 
Hebu atazame beach zinavyojaa na ni miguu yako tu kufika bk raha sana
 
Watalii wote wanaopanda mlima kilimanjaro wanakaa Arusha na wengine wanatokea Kenya, moshi wapo wanzubaa tu
 
Nimetoka huko juzi juzi tu... Mji uko vile haujaongezeka chochote ukiacha lile jengo jipya la NSSF kidogo ndio limebadilisha mji kidogo.....

Tofouti ya moshi ya mwaka 2010 na 2017 ni kuongezeka kwa jengo la NSSF labda kidogo na club Redstone....
Nami nimetoka last week. Bahati mbaya sana wameingia cha kike kubishana na wanaozijua vizuri sehem zote mbili. Ni aibu
 
Hebu nikutajie majengo yaliongezwa bukoba baada ya tetemeko mwaka Jana.ihungo Geneva maghorofa zaidi ya 10 na mijengo 30 ya walimu,bukoba shopping mall ujenzi unaendelea,stendi ya mabasi ujenzi unaendelea, jengo la jeshi chemba,nhc kashozi road ujenzi unaendelea, father residents rumuli,na mengine nakusogezea picha
 
Nami nimetoka last week. Bahati mbaya sana wameingia cha kike kubishana na wanaozijua vizuri sehem zote mbili. Ni aibu
Nafikiria hivyo mkuu... kidogo nilivyofika arusha ndio kulikuwa kumebadilika kwelikweli tofouti na ile ya mwaka 2010......

Nadhani dodoma ishaipiku moshi tayari maana si kwa project zile zinazoendelea mjini.....
 
Nimetoka huko juzi juzi tu... Mji uko vile haujaongezeka chochote ukiacha lile jengo jipya la NSSF kidogo ndio limebadilisha mji kidogo.....

Tofouti ya moshi ya mwaka 2010 na 2017 ni kuongezeka kwa jengo la NSSF labda kidogo na club Redstone....
Bora umesema ukweli wamepakimbia kwao maisha hayaendi huko wapo mjini wanafanya utapeli
 
Ila project ya Ihungo nimeilewa kwelikweli.... siku ikikamalika naamini bukoba itakuwa na mwonekano dhahiri kabisa mkuu
 
Hata unge-google unaambulia nssf tu, ukiingia website ya mkoa post mpya ni ya April 2017 kama si kulala kiakili ni nini????
Ndio jengo wanalojivunia kwa sasa...

Nadhani ndio jengo zuri na la kisasa moshi nzima ukiacha yale majengo yake ya zamani yaliyojaa mjini....
 
Yaani mnapoteza muda kujadili huu upuuzi wa kulinganisha Bukoba na hako kamji ka Moshi?? Hebu kuweni watu wazima basi. Mnajaza seva tu.

Hebu jadilini vity vya maana. Au iwekeni Moshi vs Songea.
 
Kitu kingine nimegundua humu kwenye huu uzi kuna watu hawajui tofauti kati ya Bukoba na Kagera. Eti mtu unakuta anakwambia mimi nilifika Biharamulo nimeona Bukoba bado iko chini sana. Inabidi mjue Bukoba sio Kagera yote, ni wilaya kama hizo mnazotaja Biharamulo, Ngara, Muleba, n.k sasa unapoenda Muleba ukasema uliona Bukoba haijajengeka unakuwa very wrong. Bukoba zipo mbili tu; Bukoba mjini na Bukoba vijijini.

Kingine wengi mnaonekana mnajua Kagera yote ni wahaya kitu ambacho sio sahihi. Wilaya zinazoishi wahaya kiasili ni Bukoba vijijini, Missenyi, Muleba na Bukoba mjini yenyewe japo kuwa sasa imekuwa na mchanganyiko (japo kidogo) wa makabila mengine kwa kuwa ni mjini.

Hivyo ni kosa kubwa la kiwango cha lami mathalani mtu kwenda Ngara au Karagwe akase.a wahaya wanaishi maisha magumu hata vijijini hawajajenga nyumba za maana. Hizo wilaya hazikaliwi na wahaya ni wasukuma na wasubi kwa Biaharamulo, Waanagaza kwa Ngara na wanyambo kwa Karagee na Kyerwa.

Ukitaka ujue mhaya vijijini kwake kumejengeka kiasi gani nenda wilaya za Misenyi, Muleba na Bukoba vijijini alafu uone ukirudi kama utakuwa na hata confidence ya kukaa nyima ya keyboard kuilinganisha Bukoba na Moshi.

My take: Maneno kila mtu anaweza kuongea kulingana na kipaji chake cha kubisha au kubeza, ila nadhani points na evidence ndio muhimu zaidi na ndio maana hapa wa Bukoba wanaleta picha ila wa Moshi naona mapambio mengi picha ni aibu. Kabla hujajivika ubishi hakikisha unafika maeneo husika.

Siku iwe njema kwenu
 
Na hii ni tangu tetemeko limetokea, juzi tu hapa! Shikamoo Bukoba
 
Leo ama kesho tutarajie mpuuzi mmoja atakuja na uzi akijifanya kuijua bukoba na kwamba imechoka, kumbe yupo huko mbege imemkolea hajui chochote
Watu tumeshajua mbivu na mbichi hatufanganyiki tena. Hata waalikane wote wachangie kwa ngonjera, tunataka picha za kwao tu. Za Bukoba waziache. Wamebakiza takwimu kwenye makaratasi tu sasa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…