The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,799
- 1,681
Mkuu kama unataka kufa na njaa, kaanzishe bihashara kilimanjaro! Kwanza kujua tu kwamba we si mchagga hawaji kununua kwako mwishowe unafirisika na kurudi kwenuSimu zenyewe zenye Camera, wanazo walivyo wabairi. Wanaingia kwenye Jamii Forum Kwa laptop za kuazima. Ubairi sana na ndio Maana Kilimanjaro inaitwa mkoa wa wagumu
Watu wa Kilimanjaro ni Wabairi sana, MTU anashindwa kununua Simu ya kichina hata ya kueleweka kupiga picha matukio na ndio Maana wakenya wanajitangaza mlima Kilimanjaro wao na wenyewe wamekaa kama mazombi yasiyojielewa. Dunia nzima iliona wakati Uganda ilivyosema kagera ya kwao, lakini wachaga hamna kitu, business nyingi zilianza kuwashinda na kukimbilia serikalini hili kupiga dili, sasa ivi kariakoo mmeshindwa biashara sijui mtakimbilia wapi? Nauli ya dar es salaam kwenda Kilimanjaro ni 25,000 lakini MTU kusafiri ni Mara moja Kwa mwaka na bado MTU akienda anataka arudi kabeba vyàkula kufidia nauli yakeIla sifa hizo zinatangaza bukoba na kukua kitalii.moshi hamna uzalendo wa kutangaza mji wenu na KLM mpaka wanasema mlima uko Kenya mnatuabisha sana
Mmbekiza hayo maneno tu maskini. Mnatia huruma sanaUsifananishe bk na mo town utachekwa
Hebu niwape vyombo dini bukoba ni kitu muhimu sana kanisa katoliki na upadre tz ulichipukia huko mapadre wa kwanza tz.askofu wa kwanza tz na kardinali wa kwanza mweusi anatokea huko na amezikwa kwenye kanisa zuri sana kuliko yote na refu Africa mashariki nzima na Africa likishika nafasi za juu ni kanisa la kikardinaliWakati upande mmoja ukionesha usomi wa kupangua hoja na kuweka evidence za picha, naona upande wa pili akina mangi wanabwabwaja tu kutafuta sapoti kwa wasioijua hii miji miwili.
Mi sioni haja ya kuonesha umahili wa kutumia lugha katika kusifia au kuponda wakati watu wanataka wapambanishe tangibles na sio maneno.
Tukitazama points na evidence Moshi mshapigwa siku nyingi sana. Mmebaki na 'huwezi faanisha Moshi na uchafu (kwa lafudhi ya kichaga)" "usifananishe Moshi na ujinga (kwa lafudhi ya kichaga)
Kwa taarifa yenu tu niwasaidie, Moshi ni kamji ambako kanapendeza sana sehem ndogo sana ya mji hapo katikati, ila ukipiga hatua kidogo hamna kitu na ndio maana hata nyinyi wenyewe wachaga mnakosa picha nyingi za kutuma. Ukitaka kutuma picha flani unakuta mwenzio ashaituma!
Tukiacha manene Bukoba ni pana na imejengeka sehem nyingi na inazidi kupanuka.
Hapo nazungumzia mjini tu. Nikizungumzia vijiji vya wahaya vs vya wachaga vimeelekeana ila vya wahaya vipo juu zaidi. Kuna vijiji ukifika unadhani ni town! Huduma zote zipo kijijini hadi Posta na line za simu za TTCL!
Ni vizuri kufika sehemu kuliko kutumia experience ya mwenzio. Ba ukifika sehem jitahidi kuzunguka kuona maeneo, usi jaji sehem yote basing on hapo ulipofikia.
Pole sana mkuu. Naona sasa kwa upande wa uzuri wa mji mmeshakubali kukaa! Haya twende kwenye takwimu unazozitaka wewe. Moshi nyang'anyang'aWahaya .. Mnatatizo lasifa, na ndio maana hamna maendeleo.. Mmebaki kuoiga picha majengo waketi wenzenu wakilimanjaro mji ulisha jengengeka miaka mingi kwa sasa wachaga wana pambana kukuza vijiji nyiyi mnahangaika na vijengo vya mjini vipya ndio vina gorofa tatu.. Wakati kilimanjaro kwanzia miaka ya 1980 walishakuwa na majengo ya gorofa 12. Tena mengi..
Sasa hivi tunajipima kwa maendeleo ya data, uchumi wa mkoa, mahitaji ya jamii, pato la mtu mmoja mmoja.. Miundo mbinu yenye hadhi ya kisasa. Maisha bora ya kipato cha kati..
Tafuta data zakitaifa kujua mkoa wako uko level gani kwa kufanya rejea ya hayo niloyoandika hapo .. Achana na vijengo vya kijinga wakati miundombinu ya barabara, maji, pato la jamii yako, vyoo tu tatizo mkoa aslimia 79 hawana vyoo bora, huu tu ni ishara tosha kuwa bado hamja staarabika .. Kilimanjaro asilimia 13 tu ndio haina choo bora ..miundo mbinu ya bara bara, maji na elimu tuko 97 % tunaongoza kitaifa uko bukoba kwenun mko 37% .. Tafuta data kaka wewe jipambanishe na lindi ndio figa zenu zina kimbuliana
Kifo cha mendeeeeee!!! Yaani tuanze kusoma namba wakati picha zipo??? In some aspects hapo kwenye hizi takwimu zako Kilimanjaro imeaiacha mbali Dar. Sasa sijui mnataka kutwambia Moshi pia imeizidi Dar kwa maendeleo! Hamshindwi kusema mnaizidi Dar maana wachaga siku hizi mmekuwa na sifa hata wahaya hawaoni ndani!
Ongelea figure kama hizi achana na ujinga wa kelele za vijengo vya ghorofa 3. ..fact never lay..
Taja mtaa ambao haina lami Bukoba??? Bukoba lami hii sifa sasa hafi nje ya mji. Mnamezeshwa vumbi la stend. Subiri iishe sasa muone mnavyokufa kifo cha mendenimemweleza hataki kuelewa bukoba vumbi tupu ufananishe na mji wa kwanza kwa USAF moshi?
Mmejenga zisizochukuliwa na kamera?? Acha maneno leta pichaaaaaa. Mfyuuuunimemweleza hataki kuelewa bukoba vumbi tupu ufananishe na mji wa kwanza kwa USAF moshi?
mnaanza kujenga vigorofa vitatu mbwembwe nying,sisi huko tishapita zamaan yan sifa zinawaponza mlikolala ndo tilipoamkia cc
Mkuu naomba unitajie jengo la ghorofa 12 linalopatikana moshi?Wahaya .. Mnatatizo lasifa, na ndio maana hamna maendeleo.. Mmebaki kuoiga picha majengo waketi wenzenu wakilimanjaro mji ulisha jengengeka miaka mingi kwa sasa wachaga wana pambana kukuza vijiji nyiyi mnahangaika na vijengo vya mjini vipya ndio vina gorofa tatu.. Wakati kilimanjaro kwanzia miaka ya 1980 walishakuwa na majengo ya gorofa 12. Tena mengi..
Sasa hivi tunajipima kwa maendeleo ya data, uchumi wa mkoa, mahitaji ya jamii, pato la mtu mmoja mmoja.. Miundo mbinu yenye hadhi ya kisasa. Maisha bora ya kipato cha kati..
Tafuta data zakitaifa kujua mkoa wako uko level gani kwa kufanya rejea ya hayo niloyoandika hapo .. Achana na vijengo vya kijinga wakati miundombinu ya barabara, maji, pato la jamii yako, vyoo tu tatizo mkoa aslimia 79 hawana vyoo bora, huu tu ni ishara tosha kuwa bado hamja staarabika .. Kilimanjaro asilimia 13 tu ndio haina choo bora ..miundo mbinu ya bara bara, maji na elimu tuko 97 % tunaongoza kitaifa uko bukoba kwenun mko 37% .. Tafuta data kaka wewe jipambanishe na lindi ndio figa zenu zina kimbuliana
Kushindwa hakuna excuse mkuu. Excuse ni kuhalalisha kushindwa katika hali ambayo ni kutafuta huruma ya watu.Huoni picha maana wachaga hawana muda wakupoteza kuzungunga mji kupiga picha kuja kukuridhisha wewe hapa.. Yaan unamjua mchaga unamsikia ?? Aache kutafutabpesa apoteze dakika na muda kuzungukia mjini na maeneo yote kupiga picha ambazo hazimuongezei hela lkwenye maisha yake ..eti ili aje kujikweza hapa mtandaoni. Hahaha ata hizo ulizo ona hapo juu walio post nizile amabzo wanazo kwenye simu siku nyingi walzo rushiwa na ndugu zao wakati ilo njengo la NSSF lilpozinduliwa wengibwao wakio mikoani kutafuta maisha tu ndio maana una ona wengi hawana picha zakupiga sana sana utaona amegoogle tu akapiga ile ya satilite .. No time to waste for no gain.. Nyie tu wahaya wapenda sifa ndio mna muda wakutafuta sifa kwa gharama yoyote.. Keep it up..
Mmejenga zisizochukuliwa na kamera?? Acha maneno leta pichaaaaaa. Mfyuuuu
Mkuu naomba unitajie jengo la ghorofa 12 linalopatikana moshi?
Alienda Millard Ayo aliishia kupiga picha za stend na jengo la nssf. Moshi mnatia huruma jamanTaja mtaa ambao haina lami Bukoba??? Bukoba lami hii sifa sasa hafi nje ya mji. Mnamezeshwa vumbi la stend. Subiri iishe sasa muone mnavyokufa kifo cha mende
Utamuua Huyo ana anachojua, yupo nyuma ya keyboard anavyatuka tuu. MTU aende akajenge ghorofa 12 Kwa watu ambao hata vitu vidogo kama Simu wanashindwa kununuaMkuu naomba unitajie jengo la ghorofa 12 linalopatikana moshi?