Shida una porojo nyingi hakuna picha sisi tunaendelea kuwaletea picha na bado zimejaa bukoba ni kubwa sana na majengo mengine hayaonekani faster ukiwa bk ila yamefichwa na milimamnachekesha
itachukua miaka 50 bk ifikie mosh ktk nyanja za maendeleo
ushamba bhana
kwenu nyie hicho kijengo ndo mjengo mkali duh
Ihungo unaifahamu wewe? Hujui kwamba pesa za rambirambi ndo zilijenga pale.ni sehemu exciting sana ukiwa bk.tazama mlima wa ihungomnachekesha
itachukua miaka 50 bk ifikie mosh ktk nyanja za maendeleo
ushamba bhana
kwenu nyie hicho kijengo ndo mjengo mkali duh
Wewe unalinganisha mchana na usiku au mlima Kilimanjaro na kichuguu Moshi huwezi linanganisha na Bukoba kabisaKumekuwepo na mabishano makubwa kuhusu mji Wa bukoba na moshi ni mji gani mkubwa kwa eneo,majengo,idadi ya watu,miundo mbinu,mzunguko Wa pesa,na importance ya mji na location changia kwa facts. Karibu
Picha bro majungu ya nini ? Tunatangaza miji yetu na bado picha za bukoba hazijaisha data huwekwa na watu sio miungu.nyuzi huwa ni za kitalii zaidi bukoba inaizidi kupaa hebu nitajie mtaa gani bk hakuna lami.stendi ndo inakamilika mwezi mei.maji si shida bk.sasa kitu gani unaongea hapo shida wengi hawaamini kuwa ndo bukoba hawakutegemea.maana walishakaririshwa na chuki ni kubwa dhidi ya wahaya kisa maendeleo yaoWahaya .. Mnatatizo lasifa, na ndio maana hamna maendeleo.. Mmebaki kuoiga picha majengo waketi wenzenu wakilimanjaro mji ulisha jengengeka miaka mingi kwa sasa wachaga wana pambana kukuza vijiji nyiyi mnahangaika na vijengo vya mjini vipya ndio vina gorofa tatu.. Wakati kilimanjaro kwanzia miaka ya 1980 walishakuwa na majengo ya gorofa 12. Tena mengi..
Sasa hivi tunajipima kwa maendeleo ya data, uchumi wa mkoa, mahitaji ya jamii, pato la mtu mmoja mmoja.. Miundo mbinu yenye hadhi ya kisasa. Maisha bora ya kipato cha kati..
Tafuta data zakitaifa kujua mkoa wako uko level gani kwa kufanya rejea ya hayo niloyoandika hapo .. Achana na vijengo vya kijinga wakati miundombinu ya barabara, maji, pato la jamii yako, vyoo tu tatizo mkoa aslimia 79 hawana vyoo bora, huu tu ni ishara tosha kuwa bado hamja staarabika .. Kilimanjaro asilimia 13 tu ndio haina choo bora ..miundo mbinu ya bara bara, maji na elimu tuko 97 % tunaongoza kitaifa uko bukoba kwenun mko 37% .. Tafuta data kaka wewe jipambanishe na lindi ndio figa zenu zina kimbuliana
nimemweleza hataki kuelewa bukoba vumbi tupu ufananishe na mji wa kwanza kwa USAF moshi?Wewe unalinganisha mchana na usiku au mlima Kilimanjaro na kichuguu Moshi huwezi linanganisha na Bukoba kabisa
nimemweleza hataki kuelewa bukoba vumbi tupu ufananishe na mji wa kwanza kwa USAF moshi?Wewe unalinganisha mchana na usiku au mlima Kilimanjaro na kichuguu Moshi huwezi linanganisha na Bukoba kabisa
mnaanza kujenga vigorofa vitatu mbwembwe nying,sisi huko tishapita zamaan yan sifa zinawaponza mlikolala ndo tilipoamkia ccPicha bro majungu ya nini ? Tunatangaza miji yetu na bado picha za bukoba hazijaisha data huwekwa na watu sio miungu.nyuzi huwa ni za kitalii zaidi bukoba inaizidi kupaa hebu nitajie mtaa gani bk hakuna lami.stendi ndo inakamilika mwezi mei.maji si shida bk.sasa kitu gani unaongea hapo shida wengi hawaamini kuwa ndo bukoba hawakutegemea.maana walishakaririshwa na chuki ni kubwa dhidi ya wahaya kisa maendeleo yao
kumbe hadi tuwape rambirambi ndo mjenge? duh nimeelewaIhungo unaifahamu wewe? Hujui kwamba pesa za rambirambi ndo zilijenga pale.ni sehemu exciting sana ukiwa bk.tazama mlima wa ihungo
We mjamaa ni me au ke hebu nijibu basi maana una majungu na umbea mwinginimemweleza hataki kuelewa bukoba vumbi tupu ufananishe na mji wa kwanza kwa USAF moshi?
mnaanza kujenga vigorofa vitatu mbwembwe nying,sisi huko tishapita zamaan yan sifa zinawaponza mlikolala ndo tilipoamkia cc
nisipoweka picha itabadili ukwrli?Hana huyo hata umchinje!!
sio majungu n ukweli maana bukoba vumbi Kali hata hizo picha unazopost za vigorofa vya msaada wa rambirbi njia zinaonesha vimbi tena ile nyekunduWe mjamaa ni me au ke hebu nijibu basi maana una majungu na umbea mwingi
nisipoweka picha itabadili ukwrli?
nyie watu n washamba sana takwimu xa kiuchumi huon mkoa wenu ulivyo hoi? au mnadhan uchum n huto tu gorofa tuwili mliojenga kwa msaada wa hela za rambirambi?