jenerali kibibi
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,167
- 630
naona umeona maji yamezidi unga unaweka mpira kwapaniAliyekwambia bk hakuna daladala nani tena za moshi SAA zima unasubiri zijae sio kama bk dk mbili mshaondoka.stendi nilishakwambia inajengwa mpya.halafu mbona unatumia lugha chafu hivyo hii inaonyesha kutokukomaa kwako hebu niache mabishano na wewe maana hujakua bado na kustaarabika bado mtoto kumbe
ukiwaambia hivyo wanasema tunatumia lughs chafuutakua ni mpumbavu wa mwisho kuona hiyo GDP ya Knjaro na BK zinaendana
Hebu nikuoneshe stendi inayojengwa ramani yake utaamininaona umeona maji yamezidi unga unaweka mpira kwapani
n wapi nimetumia lgha chafu?
hahahaha yaan ki stand mnachojenga ambacho mmechukua mkopo ndio ifikie stand babu kubwa ya moshi? maajabu
yaan bukona ije kufikia moshi labda miaka 50 baadae
NAONA UNAWEKA MPIRA KWAPANI POLE UKWELI HAUFICHIKI HATA N SAWA NA KUFUNIKA MOTO KWA KUTUMIA NGUO
Kumbe jawabu ulikuwa nalo?Unavyofikiria sivyo mji Wa bukoba una kilometa za mraba 90 huku moshi ikiwa na 59 hivyo kiukubwa bukoba ni kubwa kuliko moshi. Kwa location bukoba iko location nzuri ukizingatia imepakana na Uganda. Rwanda,Burundi, na Kenya kupitia ziwani,kimzunguko Wa pesa ni mkubwa hasa uwepo Wa bandari, nchi nyingi zilizozunguka,vyuo vingi saut,jocuko,katoke,na open.pia viwanda ni vingi tanika,bunena water,Victoria chalks,vicfish,chai yetu,asilia water,Kabanga water, Mali juice,viwanda vya mafuta ya kujipaka,kagera sugar,viwanda vya maziwa,na balimi,.tena bk IPO katikati ya mwanza na mtukula ambayo miji kuna masoko ya Africa mashariki,biachara ya ndizi ndo usiseme watu ni wengi na bukoba bado INA sehemu kubwa ya kujenga nyumba kuliko moshi ambayo imebanwa na vijiji. Nakushangaa usemapo moshi itangazwe jiji ?
Weka picha, sio unabwabwaja kama mfereji wa maji taka weka ushaidi. Hakuna hats mmoja aliyeweza kupiga picha ya kuonyesha sehemu ya Maana. Maneno mengi kama wanawake wa kizaramo1_kutokuweka picha hakubadilishi ukweli
2_n kichaa pekee anaweza fananisha mji msafi kuliko yote tz na uliopangiliwa vyema moshi na huko uchochoroni bukoba ambako n vumbi Tupu hadi stand kuu n vumbi
3_mji wa bukoba hauna daladala
4_hizo picha za vigofu mnavyopost nawacheka tu moshi mihotel ya nyota tano telee gorofa had I 15 nawachora tu maana najua nyie n watu wa sifa ukiwa na milion unaesza sema una bilion
5_mji wa moshi una sifa zote za kuwa jiji isipokua kigezo cha ukubwa tu,bukoba imefeli vigezo karibu kumi vya kuwa jiji
Weka picha, sio unabwabwaja kama mfereji wa maji taka weka ushaidi. Hakuna hats mmoja aliyeweza kupiga picha ya kuonyesha sehemu ya Maana. Maneno mengi kama wanawake wa kizaramo
Unafikiri kuwa jiji ni sawa na kulala na mwanamkeNaona Moshi huijui vzr...Naona Moshi wangewapa hadhi ya JIJI tuu
SAsa mkuu acha kukurupuka...ulizia nikupe evidence!!!Unafikiri kuwa jiji ni sawa na kulala na mwanamke
Mkuu naona unazid kuwapa presha walishakukimbia zaman maana wenyewe wana jengo moja la NSSF eti nyumba zimejengwa vijijiniAh bwana bukoba ni mji wa kitalii pia.hii ni kyanyi resort ipo migera km tatu kutoka center mlimanini mpya hii nayo