Sababu yenu huwa ile ile stendi tu hata yenyewe inajengwa nyingine kyakairabwa km 7 kutoka mjini tazama ujenzi wake ulipokuwa umefikia wiki iyopitan kichaa pekee anaweza fananisha mji msafi kuliko yote tz yaan moshi na ka mji kalikodumaa bukoba ambKo hata stand tu ya mabasi n vumbi
mzunguko wa hela moshi b Mara 500 ya bukba
moshi INA biashara nyingi mno
makampun makbw yapo moshi
bukoba tetemko liliwaumbua vijumba vya ajabu mjin
Usitumie matusi bro huo ni ushamba leta picha za hayo unayoyasema usiwe kama MTU asiye binadamu habu nikuulize ulishawahi kuexprience tetemeko au unafikiri ni kitu kidogo matusi kama hayo ni dalili ya laana mbaya kwako.usitolee tetemeko kama mfano lingemuchukua mama yako ndo ungejua uyasemalo usibadirishe mantiki ya Uzi huu wenye lengo kubwa la kutangaza miji hii sio matusi leta picha za moshi nami ntaleta za bkb hapo ndo tutajudge sio matusi jamii forum sio kijiwe cha matusin kichaa pekee anaweza fananisha mji msafi kuliko yote tz yaan moshi na ka mji kalikodumaa bukoba ambKo hata stand tu ya mabasi n vumbi
mzunguko wa hela moshi b Mara 500 ya bukba
moshi INA biashara nyingi mno
makampun makbw yapo moshi
bukoba tetemko liliwaumbua vijumba vya ajabu mjin
Kilimanjaro pa kawaida sana. Kama wanabisha waweke pichaKwa nilivyo angalia hizo picha Bukoba pako vizuri ngoja tusubiri na mwenyeji wa Moshi atupie picha za huko tuone nako panafananaje!
Leta picha za makampuni hayo na mji sio maneno kama hizi bro.hii ni bk bron kichaa pekee anaweza fananisha mji msafi kuliko yote tz yaan moshi na ka mji kalikodumaa bukoba ambKo hata stand tu ya mabasi n vumbi
mzunguko wa hela moshi b Mara 500 ya bukba
moshi INA biashara nyingi mno
makampun makbw yapo moshi
bukoba tetemko liliwaumbua vijumba vya ajabu mjin
ingia web ya tra uangalie kati ya mishi na bukoba n IPI inachangia hela nyingi kwa maana y GDP then urd hapa
bukoba n ka mji ka hovyo kuwahi kutokea yaan stand n vumbi vijumba vimebanana utdhan hakuna mpango mji
nenda moshi uone mijengo ilivyopangiliwa
Mji wa hovyo kivipi hizo picha huzioni au huaminiingia web ya tra uangalie kati ya mishi na bukoba n IPI inachangia hela nyingi kwa maana y GDP then urd hapa
bukoba n ka mji ka hovyo kuwahi kutokea yaan stand n vumbi vijumba vimebanana utdhan hakuna mpango mji
nenda moshi uone mijengo ilivyopangiliwa
hahaha yan hivi vi Gofu vilivyojichokea hivi ndio ufananishe na moshi? hebu acha kuchekesha watuMoshi picha wapi
naona huelewina hiyo nini au sio GDP tazama kagera ya ngapi ulinganishe na KLM pamoja ya kuwa na mlima.tena bk inajijengea stendi yake kwa kutumia own source sio misaada iliyotumika kujenga stendi yenu iliyojengwa hovyo subiri ya kyakairabwa imalizwe mwaka ni mtaona watu wa bk wasivyopapuka kuparamia miradi
stand ya moshi n miongon mwa stand za kisasa KBS tzna hiyo nini au sio GDP tazama kagera ya ngapi ulinganishe na KLM pamoja ya kuwa na mlima.tena bk inajijengea stendi yake kwa kutumia own source sio misaada iliyotumika kujenga stendi yenu iliyojengwa hovyo subiri ya kyakairabwa imalizwe mwaka ni mtaona watu wa bk wasivyopapuka kuparamia miradi
hivyo vi gofu kufananisha na ile mijengo ya moshi utachekwaLeta picha za makampuni hayo na mji sio maneno kama hizi bro.hii ni bk bro
Kwa nssf moshi kuwa jengo kubw tz hapana huo uongo what about nssf hotel mwanza 16floors n still sio refu tzhivyo vi gofu kufananisha na ile mijengo ya moshi utachekwa
yaan vi gofu vya miaka ya 70 ufananishe na like migorofa pale moshi?
nssf ya moshi ndio jengo kubwa kuliko yote tz cjui kama una hbr kikwete alilifungua 2014
Mji nzima wa moshi kuna jengo moja tu la maana mengine tazama bk ndo kuna jengo la airport zuri zaidi bongo,uwanja wa mpira mzr na bora wa tatu tz, na bukoba kuna nssf piahivyo vi gofu kufananisha na ile mijengo ya moshi utachekwa
yaan vi gofu vya miaka ya 70 ufananishe na like migorofa pale moshi?
nssf ya moshi ndio jengo kubwa kuliko yote tz cjui kama una hbr kikwete alilifungua 2014
Huyu jamaa muumpuuuze, ana akili ndogo na bado ajatembea na anakaa kwa shemeji yake. Sasa kubishana na mtu kama huyu no kupoteza muda. Watu wameweka picha za kagera yeye kashindwa kuweka picha za Kilimanjarohivyo vi gofu kufananisha na ile mijengo ya moshi utachekwa
yaan vi gofu vya miaka ya 70 ufananishe na like migorofa pale moshi?
nssf ya moshi ndio jengo kubwa kuliko yote tz cjui kama una hbr kikwete alilifungua 2014
Stendi inayojengwa kyakairabwa bukoba mbona itaigalagaza hata Kilimanjaro airport subiri ikamilike mwezi meistand ya moshi n miongon mwa stand za kisasa KBS tz
magari karibi ya mikoa yote tz hutus ktk mji wa wajanja na mji msafi kuliko yote tz moshi
yaan sisi wenye stand kubwa na ya kisasa tumekaa kmya we stand yako hata haijakamilika unajikosha sasa c unaonekana mshamba?Stendi inayojengwa kyakairabwa bukoba mbona itaigalagaza hata Kilimanjaro airport subiri ikamilike mwezi mei
1_kutokuweka picha hakubadilishi ukweliHuyu jamaa muumpuuuze, ana akili ndogo na bado ajatembea na anakaa kwa shemeji yake. Sasa kubishana na mtu kama huyu no kupoteza muda. Watu wameweka picha za kagera yeye kashindwa kuweka picha za Kilimanjaro
utakua ni mpumbavu wa mwisho kuona hiyo GDP ya Knjaro na BK zinaendanana hiyo nini au sio GDP tazama kagera ya ngapi ulinganishe na KLM pamoja ya kuwa na mlima.tena bk inajijengea stendi yake kwa kutumia own source sio misaada iliyotumika kujenga stendi yenu iliyojengwa hovyo subiri ya kyakairabwa imalizwe mwaka ni mtaona watu wa bk wasivyopapuka kuparamia miradi
Aliyekwambia bk hakuna daladala nani tena za moshi SAA zima unasubiri zijae sio kama bk dk mbili mshaondoka.stendi nilishakwambia inajengwa mpya.halafu mbona unatumia lugha chafu hivyo hii inaonyesha kutokukomaa kwako hebu niache mabishano na wewe maana hujakua bado na kustaarabika bado mtoto kumbe1_kutokuweka picha hakubadilishi ukweli
2_n kichaa pekee anaweza fananisha mji msafi kuliko yote tz na uliopangiliwa vyema moshi na huko uchochoroni bukoba ambako n vumbi Tupu hadi stand kuu n vumbi
3_mji wa bukoba hauna daladala
4_hizo picha za vigofu mnavyopost nawacheka tu moshi mihotel ya nyota tano telee gorofa had I 15 nawachora tu maana najua nyie n watu wa sifa ukiwa na milion unaesza sema una bilion
5_mji wa moshi una sifa zote za kuwa jiji isipokua kigezo cha ukubwa tu,bukoba imefeli vigezo karibu kumi vya kuwa jiji