Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,724
Kah! mji wa Bukoba umekaa kama mahema ya wakimbizi......Una sura ya miji ya Afrika ya kati.
Bukoba itasubiri sana kuifikia Moshi.
Kumekuwepo na mabishano makubwa kuhusu mji Wa bukoba na moshi ni mji gani mkubwa kwa eneo,majengo,idadi ya watu,miundo mbinu,mzunguko Wa pesa,na importance ya mji na location changia kwa facts. Karibu
Kuhusu mji wa Moshi kuwa dormant hilo ni kweli, lakini Bk haiwezi kufikia Moshi.Kabla ya Uhuru miji iliyokuwa mikubwa na ya mwanzo kujengwa ni Moshi na Tanga .....hii ni miji ambayo baada ya uhuru ilikuwa dormant sana .......hasa baada ya utaifishaji wa mashamba ikawa kama imekufa kwakuwa wakulima wakubwa wa Kahawa na Katani walioifanya miji hii kuwa maarufu waliondoka
Bandari ya Tanga miaka hiyo ilikuwa ina handle exports nyingi kuliko Dar es salaam .....,
Mji wa Moshi ndipo kulijengwa jengo la kwanza lenye lift afrika mashariki na watu walitoka hadi Nairobi kuja kula maisha Coffee Tree Hotel [KNCU].....
Miji ya ARUSHA ,DAR,MWANZA ilianza kuipiku miji ya Tanga na Moshi baada ya uhuru .
Toka miaka ya 60 hadi sasa mji wa moshi ulidumaa sana at least kuanzia mwaka 2010 ndio kidogo wenyeji wameanza tena kujenga .......mfumo wa uchumi hasa Utaifishaji miaka ya 1960 ,Uhujumu uchumi 1980 ,ubinafsishaji etc ilifanya biashara kudorora na wenyeji wengi kuamua kuwekeza nje ya mkoa wa Kilimanjaro hasa mikoa ya Arusha,Mwanza,dodoma,Mwanza ........Kuhusu mji wa Moshi kuwa dormant hilo ni kweli, lakini Bk haiwezi kufikia Moshi.
Ulianza vizuri lakini mwishoni kama unapotosha, histoia inasema kuwa nyumba ya kwanza kuwa na lift Afrika Mashariki na Kati ni 'house of wonders' iliyopo Zanzibar!Kabla ya Uhuru miji iliyokuwa mikubwa na ya mwanzo kujengwa ni Moshi na Tanga .....hii ni miji ambayo baada ya uhuru ilikuwa dormant sana .......hasa baada ya utaifishaji wa mashamba ikawa kama imekufa kwakuwa wakulima wakubwa wa Kahawa na Katani walioifanya miji hii kuwa maarufu waliondoka
Bandari ya Tanga miaka hiyo ilikuwa ina handle exports nyingi kuliko Dar es salaam .....,
Mji wa Moshi ndipo kulijengwa jengo la kwanza lenye lift afrika mashariki na watu walitoka hadi Nairobi kuja kula maisha Coffee Tree Hotel [KNCU].....
Miji ya ARUSHA ,DAR,MWANZA ilianza kuipiku miji ya Tanga na Moshi baada ya uhuru .
hahhahaha utatokwa povu mpaka unye mwaka huuWe ndo unajigamba bukoba na marangu wapi na wapi
Kuhusu mji wa Moshi kuwa dormant hilo ni kweli, lakini Bk haiwezi kufikia Moshi.
Ulianza vizuri lakini mwishoni kama unapotosha, histoia inasema kuwa nyumba ya kwanza kuwa na lift Afrika Mashariki na Kati ni 'house of wonders' iliyopo Zanzibar!
tunaamaanisha mji wa moshi ...na sio huko milimani ...kwenye njia za milima ambako pia yako mahoteli baadhi ...pamoja na kuwa Kilimanjaro ndio inaoongoza nchini kuipatia nchi mapato ya utalii ....kuna wakati mji wa moshi mahoteli yake mengi maarufu yalikufa ie Moshi hotel[livingstone] na wageni iliwabidi watokeee arusha kwenda kupanda mlima ...kwa sasa inaanza kupungua baada ya hoteli kuanza kujengwa tena mjini moshi ..na sasa moshi umekuwa ni moja ya miji ya starehe tanzaniaKama Moshi ni dormant basi hata sector ya utalii nchini ni dormant sababu Kilimanjaro inachangia zaidi ya 87% in tourism cash na sector ya utalii ndio ya pili kwenye kuchangia pato la taifa ikitoka kilimo
Ila ukipitia mikondo ya historia fupi ya nchi yetu ni wazi 'maamuzi magumu' ya mwaka 1967 kutaifisha njia za uzalishaji na uhujumu uchumi kuna maeneo yaliathirika lakini Moshi, Bukoba na Tanga ni zaidi!basi umenifunza leo ...ila kitabu nilichosoma kilisema hotel ya kwanza ya lift afrika mashariki na mfumo wa maji moto ni Coffee Tree hotel ,iliyojengwa na Native Gorvernment ya Kilimanjaro ....ila kwa hili la zanzibar nakubaliana nawewe kwakuwa najua sio Tanzania tu bali Afrika ,Zanzibar inazo record nyingi ie street lights ziliwekwa zanzibar hata kabla ya London , TRENI YA KWENDA BUBUBU,televisheni ya rangi ya kwanza afrika , etc etc
hili hata mwalimu alipokuwa anaaga alipoongelea maamuzi aliyajutia kwenye utawala wake alisema ni utaifishaji kuwa angepata fursa angeufanya kwa namna nyingine na alitoa mfano wa Tanga ....ni kweli hii mikoa imekuwa kwenye stagnization kwa zaidi ya miaka 50 na bahati mbaya wenyeji wa mikoa hasa Kagera ,Kilimanjaro ,Mbeya etc nao wakawa waoga ...kuwekeza kwaoIla ukipitia mikondo ya historia fupi ya nchi yetu ni wazi 'maamuzi magumu' ya mwaka 1967 kutaifisha njia za uzalishaji na uhujumu uchumi kuna maeneo yaliathirika lakini Moshi, Bukoba na Tanga ni zaidi!
Mwanza apo sio moshiHalf tumeshawambia acheni kuiba picha ya mwanza Rock city ya kanda ya ziwa weka picha za kamji ka moshi
Tafuta hata miwani ya mbao basi ili uone. Kiukweli nimeipitisha rasmi Moshi ni balaa aisee wachaga hongereni sana nimependa bure.Siku zote unapolinganisha vitu viwili ni lazima picha utoe zote na si za upande mmoja, tumeona picha za bukoba vp picha za mshindani wake? Weka picha hapo inaonekana umekuja na majib mfukoni!