enock yusto
JF-Expert Member
- May 28, 2014
- 377
- 342
Mlima unakunufaishaje we kama wewe.si si ziwa haliingizi mapato hiyo yote kisa serikali kutolitumia ipasavyo ila sie linatunufaisha kimaisha hasa bandari, uvuvi na beach za kuvinjari sijui moshi mnaendaga wapi kwenye mtoko kama sio kwenye madimbwi.sijui utapanda mlima kila siku sijui cheki palivyokuwa beach bukoba Leo hiyo ni kiroyera beach bukoba raha wwNa huo mlima hilo ziwa linaingia mara 500. Katika mapato ya nchi!!
Basi tufanye Bukoba imeshinda, hii inaweza kuondoa undugu wetu??Unavyofikiria sivyo mji Wa bukoba una kilometa za mraba 90 huku moshi ikiwa na 59 hivyo kiukubwa bukoba ni kubwa kuliko moshi. Kwa location bukoba iko location nzuri ukizingatia imepakana na Uganda. Rwanda,Burundi, na Kenya kupitia ziwani,kimzunguko Wa pesa ni mkubwa hasa uwepo Wa bandari, nchi nyingi zilizozunguka,vyuo vingi saut,jocuko,katoke,na open.pia viwanda ni vingi tanika,bunena water,Victoria chalks,vicfish,chai yetu,asilia water,Kabanga water, Mali juice,viwanda vya mafuta ya kujipaka,kagera sugar,viwanda vya maziwa,na balimi,.tena bk IPO katikati ya mwanza na mtukula ambayo miji kuna masoko ya Africa mashariki,biachara ya ndizi ndo usiseme watu ni wengi na bukoba bado INA sehemu kubwa ya kujenga nyumba kuliko moshi ambayo imebanwa na vijiji. Nakushangaa usemapo moshi itangazwe jiji ?
Moshi na mwanza wapi na wapi mwanza ni jiji la zamani acha dharau kwa kanda ya ziwa mwenzangu kanda hiyo INA watu wengi kuliko kanda yoyote ile.mikoa mingi.manispaa nyingi na miji mingi sana kasikazini ni miji kama moshi midogo kama nini kwanza moshi ni ndogo mno sekunde umemaliza mjiWewe kijana mpumbavu sana unaongelea bukoba ipi???? Kama moshi umeijulia star TV unafikiri na wengine bukoba tumeijulia kwenye Kasibante FM???
hivi hapo muleba unapotambia ipo nyumba ipi ya maana zaidi ya hiyo ya Anna Tibaijuka aliyoijenga juzi juzi kwenye hiyo road ya kuelekea bomani????
Me nikushauri tu punguza kujiaibisha wa haya wenzio waliokwisha fika Moshi wanakuambia Moshi ni habari nyingine unajifanya kichwa ngumu huna adabu kabisa Kwanza biharamulo inaipita bukoba.
Moshi inaichalenge Mwanza alafu unakuja kuilinganisha na Bukoba????
Unajua nilivyoona hii thread nilikuwa najua una nia njema ya kutaka kuujua ukweli. Kumbe tayari ulikuwa uko biased na kwenu. Hii ni dhambi ya ukabila inakutafuna.Moshi na mwanza wapi na wapi mwanza ni jiji la zamani acha dharau kwa kanda ya ziwa mwenzangu kanda hiyo INA watu wengi kuliko kanda yoyote ile.mikoa mingi.manispaa nyingi na miji mingi sana kasikazini ni miji kama moshi midogo kama nini kwanza moshi ni ndogo mno sekunde umemaliza mji
Kuifananisha moshi na bukoba ni kuikosea heshima Moshi. Tayari majibu yamepatikana hapa bukoba ifananisheni na ujinga mwingine huko huko Kanda ya ziwa.Tatizo la watu wa Moshi matusi na vijembe sana, ndiyo maana Bukoba imewazalaza bakola za kutosha, kama ni picha leteni acheni maneno mengi, alfu kutukana kunaonesha ni watu wa aina gani, matusi ya hivyo ni watu ya washamba sasa kama nyinyi mna sifa ya usomi alfu ustaarabu sifuri hapana kabisa.
Watu wa Moshi msifanye hivyo shindaneni na watazeni wa kimaendeleo, kwangu naona Bukoba ina inyanyasa vibaya Moshi pamoja na tofauti kubwa zilipo katika miji yote miwili, Moshi wanaweka zile picha za Hotel zilizoko pembezoni mwa mji wa Moshi alfu wanasema ni vijijini!!!
Sikatai Moshi ina miundo mbinu imara ya maji, umeme na barabara, lakini Bukoba pia kwenye suala la umeme, Afya kwa sasa ina fanya vizuri, Bukoba haina shida sana na maji ila Maji ya bomba ndiyo tatizo kwa Bukoba ukilinganisha na Moshi.
Naombeni watu wa Bukoba pia njooni na picha za vijijini hasa kule Muleba (Kamachumu) Misenyi, Kyaka na Kyerwa,
Nawatakieni league njema Bukoba vs Moshi.
kwaiyo wewe ulizani kuwa starehe pekee ni kuogelea tuu bila shaka wewe ni Nshomire ila tuuu nikuulize kwa dada zetu wa bukoba hukoo yale maji hayatoshi mpaka muende ziwani???Mlima unakunufaishaje we kama wewe.si si ziwa haliingizi mapato hiyo yote kisa serikali kutolitumia ipasavyo ila sie linatunufaisha kimaisha hasa bandari, uvuvi na beach za kuvinjari sijui moshi mnaendaga wapi kwenye mtoko kama sio kwenye madimbwi.sijui utapanda mlima kila siku sijui cheki palivyokuwa beach bukoba Leo hiyo ni kiroyera beach bukoba raha ww
Unavyofikiria sivyo mji Wa bukoba una kilometa za mraba 90 huku moshi ikiwa na 59 hivyo kiukubwa bukoba ni kubwa kuliko moshi. Kwa location bukoba iko location nzuri ukizingatia imepakana na Uganda. Rwanda,Burundi, na Kenya kupitia ziwani,kimzunguko Wa pesa ni mkubwa hasa uwepo Wa bandari, nchi nyingi zilizozunguka,vyuo vingi saut,jocuko,katoke,na open.pia viwanda ni vingi tanika,bunena water,Victoria chalks,vicfish,chai yetu,asilia water,Kabanga water, Mali juice,viwanda vya mafuta ya kujipaka,kagera sugar,viwanda vya maziwa,na balimi,.tena bk IPO katikati ya mwanza na mtukula ambayo miji kuna masoko ya Africa mashariki,biachara ya ndizi ndo usiseme watu ni wengi na bukoba bado INA sehemu kubwa ya kujenga nyumba kuliko moshi ambayo imebanwa na vijiji. Nakushangaa usemapo moshi itangazwe jiji ?
Mnarudia picha kila Mara tumezichoka
Half tumeshawambia acheni kuiba picha ya mwanza Rock city ya kanda ya ziwa weka picha za kamji ka moshi