Hivi nyie tukianza kuweka nyumba mojamoja hivi itakuwaje.pole sana moshi ebu subiria niwaonyesheKuna mijitu humu naamini kabisa kwa moyo wa dhati walikuwa wanapasikia moshi na hawajawahi kufika walikuwa wanataka waone hata kwa picha ndio maana wamekazania leta picha sasa tukiamua kuleta na zile za katikati ya migomba na kahawa sindo mtalia kabisa.
Halafu hata hatutambi kuna picha zingine naziona hapo ni za vijini kabisa hapana chezea Moshi wewe ni namba nyingine na mbaaadoMbona kama nimekimbiwa na nshomiles????
Kwani uongoooAcha ujinga wa kutafuta kiki wewe
Wajinga ni nyinyi mnakimbia shule kwenda kwenye biashara. Na biashara zenyewe ni kutegemea uchawiFicha ujinga wako wewe nyie ndio wale wanga mtu akijenga nyumba ya bati huko kwenu halali ndani eti moshi pachafu pasafi wapi.
Mwisho iwe leo KULINGANISHA Moshi na Bukoba kawaambie na wenzioWajinga ni nyinyi mnakimbia shule kwenda kwenye biashara. Na biashara zenyewe ni kutegemea uchawi
Halafu hata hatutambi kuna picha zingine naziona hapo ni za vijini kabisa hapana chezea Moshi wewe ni namba nyingine na mbaaado
Kama usafi ni maendeleo basi apa Dar es salaam ingekuwa ya mwishoFicha ujinga wako wewe nyie ndio wale wanga mtu akijenga nyumba ya bati huko kwenu halali ndani eti moshi pachafu pasafi wapi.
Kama usafi ni maendeleo basi apa Dar es salaam ingekuwa ya mwisho