Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Leta picha ya mji wa Njombe usidanganye watu bukoba IPO vizuri sana tofauti na Njombe ambayo inafanana na muleba
 
Mimi sio mchaga ila kwa kabila lolote hapa bongo litachukua sio chini ya miaka 20 kuwafikia wachaga kama wakiwa hawafanyi chochote wakiwa wanawasubiria. I like them maana sio watu wenye wivu na mtu yeyote akifanikiwa tofauti na makabila mengine likiwepo la kwangu ila wahaya wakiwa viranja wetu.
 
Hapa topic ni bk vs moshi na mji haujengwi na wazawa tu. So hatuzungunzii kabila ndugu moshi na wachagga ni vitu tofauti
 
Hapa topic ni bk vs moshi na mji haujengwi na wazawa tu. So hatuzungunzii kabila ndugu moshi na wachagga ni vitu tofauti
Ilikuja issue ya wachaga na wahaya ndo maana nika comment ivo. Fwatilia original comment.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…