Hahaaha wewe jamaa mwehu kweli, unagawa namba na kumwambia mwisho "Ibiri" Ngoja wakuunganishe na ile kesi ya jamaa. Ntakuterera waitu.Mugambile etatizo bagamba mbalwana
Nterera akasimu weza071765818 tekaho ibili mwisho.,wakola
Mkuu bk ilishashinda kitambo akina mangi wameishia kutokwa na povuBukoba kuna kanisa kubwa la kihistoria, ni kanisa kubwa na zuri kuliko yote Tanzania na Afrika
View attachment 452149
Kinachozi moshi dhidi ya bukoba ni exagiration na tambo za shemeji zangu nshomire. Huwa nawashangaa watani zangu wachaga walivyofanikiwa kila nyanja ila sio watambaji. In short wachaga shule wamepiga shule acha kabisa.Duh, leo nimeamua kupost kiovyo ovyo. Bukoba vs Moshi, hapa unatudharau sana, unatakiwa uringanishe vitu vyenye league moja.
Mtazamo wangu; majengo, Moshi wapo juu, acha kabisa. Nilishasoma Bukoba na Moshi boarding, visiting day ndo nilijua Moshi ni town compared to Bukoba, Mzunguko wa pesa, still naona Moshi wapo juu, angalia vyuo vilivyopo Moshi na mashule, kwanza Moshi tourism ipo juu, Bukoba tourist aende kuangalia nini? Lake Victoria?
Ila let's not ignore the fact, Bukoba wanatoa Nshoma nshomile wengi compared to Moshi. Hapa ndo Moshi inapigwa. Escrow wengi from Bukoba, wanasheria wengi from Bukoba...
Nakukumbusha huo ni mtazamo wangu tu. Na vilevile mimi home town, Bukoba so I might be biased.
-callmeGhost
Bukoba hii hii kuna uwanja Wa mpira mzuri ni Wa tatu kwa ubora tzBukoba kuna kanisa kubwa la kihistoria, ni kanisa kubwa na zuri kuliko yote Tanzania na Afrika
View attachment 452149
Otyosi. Ni kweli kabisa mkuu hata wasomi wa kwanza ni wahayaMbwenu buraza nkugambile ekintu omuhaya niwe muntu wa mbele kugya bulaya
Wachagga kibiashara ni sawa kabisa na makabila mengine. Tofauti, wachagga wame _ invest saana kwenye nyumba/real-estate. kijana wakichaga, especially wakiume, anapo fika umri wa kuowa, wengi wao, wazazi huwapa kiwanja au nyumba. Hivi viwanja na nyumba, wanazitumia kupata mikopo au kukodisha. Kwahivyo basi, ukichunguza vizuri, utaona hawa vijana hawaazi chini Kama vijana wengine. Nilicho jifunza kutoka kwa wachagga, nikwamba, hata uwe nautajiri mkubwa, kama huna kiwanja/nyumba/shamba, nikwamba huna kitu.Wachaga na kilimanjaro kwa ujumla ilikuwa vizuri sana kipindi cha Mwalimu. Lakini hakuna maendeleo yoyote tokea kipindi icho, wamebaki kupoteza muda mwingi katika kufanya michongo ya kuingia katika kazi za serikalini tofauti na kipindi kile walivyokuwa na biashara. Sasa ivi wachaga si chochote katika biashara, na iyo yoyote kutokana na Utapeli na wizi walio nao. Sasa ivi wahaya ukienda uko Burundi, Rwanda, Uganda, Kenya na Dubai na China wanafunga mizigo kuleta apa bongo. Wachaga wanakimbia kilimanjaro pale njaa tupu
Ni kweli kabisa, wamewekeza katika Real Estate lakini Kingine wachaga wengi baada ya kuwepo na mazoea ya kuoa wachaga wenzao kuacha na kuoa wanawake wa Kizaramo apo ndio walipozidi kupoteza, maana mwanamke wa kizaramo full kuwaza kutumia. Na wachaga wengi awapendi kuoa wachaga wenzao wakiogopa kupelekana mbio katika ndoa. Sasa walipooa wanawake wa kizaramo ndio walipopotea kabisaWachagga kibiashara ni sawa kabisa na makabila mengine. Tofauti, wachagga wame _ invest saana kwenye nyumba/real-estate. kijana wakichaga, especially wakiume, anapo fika umri wa kuowa, wengi wao, wazazi huwapa kiwanja au nyumba. Hivi viwanja na nyumba, wanazitumia kupata mikopo au kukodisha. Kwahivyo basi, ukichunguza vizuri, utaona hawa vijana hawaazi chini Kama vijana wengine. Nilicho jifunza kutoka kwa wachagga, nikwamba, hata uwe nautajiri mkubwa, kama huna kiwanja/nyumba/shamba, nikwamba huna kitu.
hali ya hewa sio kigezo mzee.hata dubai kuna joto zaidi hata ya moshi. as a matter of fact the quality is nat about weather.as a matter of fact either moshi is nat hot.nasema hivi kijiji chenu kitasubiri sanaAcha upuuzi ww toka huko kwenye joto kali njoo upate hali ya hewa safiiiiiiiii. Hivi unaijua beach au unaisikiaga??? Bk zipo za kumwaga
hamna haja ya picha nenda ukajionee mwenyewe.moshi hampo..leteni picha na nyie
So kinacho matter ni usafi???? Coz hapa nimeona moshi kusafi!!! kusafi!!!hali ya hewa sio kigezo mzee.hata dubai kuna joto zaidi hata ya moshi. as a matter of fact the quality is nat about weather.as a matter of fact either moshi is nat hot.nasema hivi kijiji chenu kitasubiri sana
Unaniconvince vp kuja huko bila kuonesha kilichopo????hamna haja ya picha nenda ukajionee mwenyewe.
By the way hapo nukoba kuna viwanda vingapi na makampuni ya watalii mangapi?
fanya utalii kama wengineUnaniconvince vp kuja huko bila kuonesha kilichopo????
in all aspects labda bukoba mshindane na marangu,uchumi,miundombinu,biashara,uwekezaji,viwanda,elimu,maendeleo etc.bukoba mtashinda aspect za katerero,senene na majigamboSo kinacho matter ni usafi???? Coz hapa nimeona moshi kusafi!!! kusafi!!!
Hahahaa Iringa unaijua wewe? Hivi inawezekanaje shinyanga iizidi Iringa? Moshi na BK pia huwezi kuzifananisha na IringaMoshi iko juu kwa Bukoba. Ila miji yetu haizidiani saana kiasi cha kuweka clear cut.
Kwa uzoefu wangu napanga majiji na manispaa za tz kwa mfuatano ufuatao.
1. Dar es Salaam
2. Mwanza
3. Arusha
4. Mbeya
5. Tanga
6. Dodoma.
7. Moshi.
8. Morogoro.
9. Bukoba
10. Shinyanga.
11. Iringa.
12. Musoma.
14.Singida.
15. Kigoma.
Endeleeza. Kuanzia Bukoka hadi kigoma no almost inalinganga nimeandika tu.