luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,709
- 8,918
Kwahiyo hizo picha sio halisi? Hilo ni kanisa la kibosho yaan kibosho parishMkuu nianze tu kwa kukwambia kuwa hilo kanisa japo la mtandaoni bado sana kwa makanisa ha bk huko vijijini. Twambie la location ya kanisa na pia na picha ya kibao cha kanisa lenyewe. Mbona ya mwanzo umeweka!??
Ila pia nikwambie tunataka picha za kupiga na kamera yako! Mwambie mtu apige akutumie. Sio hizi za kuunga unga. Huu mchezo tukiufanya sisi mtalia. Kwa nini usilete picha original from the source kama unajiamini?? Mbona sisi tunatupia vitu vyenyewe na wewe unasuuzika!??
Sent using Jamii Forums mobile app
We ndio hujui kitu nimetembea kagera,misenyi,bk vijiin , muleba karibu yote Hadi vusiwan kule bumbile,ikuza na rwaziNimegundua unaijua Moshi tu! Jitahidi uijue na Bukoba! Kuijua Bukoba sio kufika mjini na kupita. Hizi pumba unazoandika hapa ni aibu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sanya juu siha KilimanjaroNimecheka sana kwa kweli. Kelele za wachaga bwana. Yani vinavyopatikana mjini Moshi ndo vinapatikana vijijini Bukoba. Potelea mbali hata vikikosa Bukoba mjini ila vijijini vipo. Hii ni aibu kubwa uchagani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sio barabara kuuKwa hiyo bwashehe umefurahia kona, sio?? Hiyo lami ni daraja la ngapi??[emoji2][emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ndo mtanzania wa Kwanza kupata PhD upo hapo .wahaya walishapata PhD kitamboMangi mareale akipata masters degree 1942 imagine mtawala wa jadi alikuwa na masters
Dr kleruu alipata PhD mwaka 1967 wachaga wamepiga kitabu vibaya mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo eneo umelitoa wap.ukipost vitu uwe mkweli.jengo Hilo ulilopost si Hilo hapoSasa hiyo cathedral IPO BK vijiji n? Hahahaha pole mkuu mji wenu wa kishamba mno check hapoView attachment 1017427
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafahamu kutoka bukoba Tu kwenda ngara kuna mabasi na ni ndani tu ya mkoa .hata miji ya karibu kahama na mwanza mabasi unayafahamu? Na je Meli za bukoba mwanza ni ngap?Kuhesabiwa mkuu
Mabasi kama hayo kule uchagani ndio yenyewe mostly
Si unajua kampuni za mabasi tz nzima 55% zinamilikiwa n'a watu wa Kilimanjaro?
Check hapo chini ni basi la rombo to Arusha kilometa 90 tu check ngoma ilivyo utadhan ya dar mwanza
Hapo ni daraja la ungwasi vile vile View attachment 1017430
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabasi yanazidi kuongezeka kila kukicha.bukoba big upKuhesabiwa mkuu
Mabasi kama hayo kule uchagani ndio yenyewe mostly
Si unajua kampuni za mabasi tz nzima 55% zinamilikiwa n'a watu wa Kilimanjaro?
Check hapo chini ni basi la rombo to Arusha kilometa 90 tu check ngoma ilivyo utadhan ya dar mwanza
Hapo ni daraja la ungwasi vile vile View attachment 1017430
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabasi ya Mr kareju huko bukoba .ni ya mtu mmoja na ni marcopoloHayo ni mabasi ya kawaida kbs uchagani
Kuhesabiwa ni hiiView attachment 1017431
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii tilisho inapiga dar to rombo sasa iviKuhesabiwa mkuu
Mabasi kama hayo kule uchagani ndio yenyewe mostly
Si unajua kampuni za mabasi tz nzima 55% zinamilikiwa n'a watu wa Kilimanjaro?
Check hapo chini ni basi la rombo to Arusha kilometa 90 tu check ngoma ilivyo utadhan ya dar mwanza
Hapo ni daraja la ungwasi vile vile View attachment 1017430
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo mji wa kemondo uliopost sio wilaya lakini ni mzr na unapendeza Sana.utakuja kuwa mji mkubwa sana meli zikianza kufanya kazi tenaWe ndio hujui kitu nimetembea kagera,misenyi,bk vijiin , muleba karibu yote Hadi vusiwan kule bumbile,ikuza na rwazi
Huniambii chochote mkoa wenu Ni mapori pori tu check hapa kemondo hahaha
Kumechakaa kweli View attachment 1017463
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachagga na sifa za kijinga, ona hili gofu lipo Moshi mjiniVipi na hapa ni mtaani? Bk mnatia huruma
We ndio umeishiwa pumzi mkuuView attachment 1017458
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ombi lako limezingatiwa
Hii ni marangu Kilimanjaro vijin hukoView attachment 1017475
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbwembwe zoote labda uwadanganye wasioijua bk,ikiwa watu washamba namna hii na mibauskeli yao mjin ndio waishi nyumba bora?View attachment 1017471
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sio barabara kuu
Ni barabara ya ndan ya wilaya alafu unaona hilo basi? Nyie maskin wa kihaya mna uwezo wa kumiliki hiyo?
Manake kampuni za mabasi tz 55% zinamilikiwa n'a watu wa kililmanjaro
Sent using Jamii Forums mobile app