Bukoba tumebaki analogi

Wahaya watu poa sana lakini Bukoba Kama wameisusa vile. Ukiwa mgeni kuuziwa kiwanja na mwenyeji Bukoba shughuli kweli, mji umepoza sana , mzunguko wa pesa ni mdogo, ushamba mwingi, uchawi wakijinga na ukabila yaani nimeishi Arusha, Mwanza, Kagera(Bukoba), Mbeya, Rukwa, Songwe, Iringa , Morogoro, Dar es Salaam .Bukoba peke yake ndio nimekutana na ukabila
 
Mbona hata Mwanga ipo Kilimanjaro lakini haina stand kabisa, ina parking tu wilaya nzima.
 
Ulichokisema ni zaidi ya Ukweli. Bahati nzuri tuna muda wa kujiandaa kumchagua wabunge 2025. Ikiwezekana hata huyu naibu waziri Byabato tumpige chini. Anaushawishi wa kuongea na ma waziri wenzake na wakamsaidia shida zake. Lakini kakaa tu na Makamba wanaiitana mjomba, mjomba. Umesema Kagera yagera.. Lakini mimi nasema 'Kagera yatoka'.
 
Tatizo ni Ccm kuanzia Taifa wana agenda ya siri juu ya Bukoba na Kagera kwa ujumla.
 
Unazungumzia Bukoba ya mwaka gani? Mbona waliojenga na wafanya biashara ni kutoka mikoa mingine? Viwanja vimepimwa na unanunua kwa Mkurugenzi je na mkurugenzi ni muhaya? Acheni storry za vijiweni njoo ununue ujenge. Ukipata usumbufu nitafute nitalitatua kwa muda mfupi mkuu.
 
Naona umesarrenda
Umenyoosha mikono juu
Zile ligi zenu hatutarajii kuziona tena
Wewe na@luambano makiadi
Huo mkoa bado sanaaaa
Kwanza upo kushoto mwa nchi nan akawekeze huko??
Nenden Uganda tuu
 
Dah!!. Nimesikitika sana kwa comment hii !! Una mapenzi ya kizalendo kabisaa na BK.. Sasa itakuwaje!? Umeitete sanaa !!!
 
Ndugu yangu usikate tamaa. Endelea kuipambania Bk yenu.
 
Duh.
 
Hujui hata kuandika vizuri...ndo maana huyo mhaya anakudharau...

Wewe ni low profile [emoji28]
 
Tena wote wa kagera...huyo byabato na makamba mama yake wa misenyi...

Bado waziri wa tamisemi anayehusika na halmashauri ni wa karagwe lakin hata kushawishi stendi ya bukoba ijengwe hawezi..
 
Watu wa bukoba siyo watanzania Ni watu wa Uganda ndio maana serikali imewatenga ..watu wa bukoba Ni takataka kinoma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tatizo lenu bavichcdm mnaona njia rahisi ni kujaza chuki na utengano Kama mtaji wa kisiasa badala ya kujenga hoja.
 
Ng'oa hizo bati...ukipakana au ukiwa jirani nao ni full kero na migogoro.
 
Don give up Mkuu, wapambanie ndugu zako utapata Baraka kwa Muumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…