sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,454
Hao wote wananiamini kupita maelezo so usiwe na wasi.ila itabidi B52, Nitonye na Bisghanga wakuruhusu uje sawa?
Hao wote wananiamini kupita maelezo so usiwe na wasi.ila itabidi B52, Nitonye na Bisghanga wakuruhusu uje sawa?
mbona mie naona kama wote sawa tu.... kwani wana tofauti gani ... waweza nipa tofauti ya kabakabana na mkwe wa kina nshomile?Dah kwa huyu shemeji yangu mi sina tatizo kabisa..namuamini sana ila angekuwa Kabakabana lol
Nisingemruhusu hata kidogo kwa kuwa namjua sana alivyo
Ni kaka mkubwa wa nitty hana tatizo...nitawasemea kwa Bishanga!
Khaaa, unatusema ukoo mzima? Tutake radhi bana...mbona mie naona kama wote sawa tu.... kwani wana tofauti gani ... waweza nipa tofauti ya kabakabana na mkwe wa kina nshomile?
Hehehe! Tembo hulitia maji...lol.Mgema akisifiwa? na ajidhaniaye amesimama....?
Analijua ndio!mie nilidhani Bishanga..... na Bishanga anajua hilo?
Bishanga hana wivu kabisa...Weeeee! tena makaka huwa tuna wivu sana!!!
Umepewa kahawa za kutafuna? Pale katerelo ni ujombani ndugu..
aha ha ha ahh karanga natafuna sana ila kahawa natumia sana!! ndio maana sikumbuki kama walinipa ama nilinunua mwenyewe... hata ninapoandika post hii niko na kikombe cha kahawaHuyu ni mtafuna karanga kahawa haziwezi kule tunaziita ''akamwani''