Bukoba tour report

Bukoba tour report

Umetalii kweli ndugu yangu,vipi ulifika airport?

airport sikufika ila niliishia pale ELCT hotel nikaambiwa kwa chini huko ndiko airport.... kuna uzuzri gani hapo airport?
 
Hahaha! Wahaya wana EGO usisikie... Umeleta zawadi gani?

zawadi?? nilinunua tu yale maharage meupe.... ni mazuri nimeyapenda..... nilionyeshwa kuna matunda ya wahaya wanyaita kitomasi.... sikuyaonja hayo lakini
 
Dah naona hujafika kijijini kwetu maana ungepata bahati ya kuziona gari za aina cardilac, kama hujapewa ile pombe inayoitwa ''embandule'' basi hujafaidi

Kijijini kwenu wapi hapo, yawezekana nimepita ila sikushuka mitaa hiyo! Mkuu mie situmii Pombe so kwa hilo sikuwa na hata mpango wa kujaribu!! kuhusu hizo cardillac sikumbuki ila nyumba nzuriiiii zikiwa migombani hizo nimeziona
 
ila itabidi B52, Nitonye na Bisghanga wakuruhusu uje sawa?
Dah kwa huyu shemeji yangu mi sina tatizo kabisa..namuamini sana ila angekuwa Kabakabana lol
Nisingemruhusu hata kidogo kwa kuwa namjua sana alivyo
 
Duh naona hayaelezeki kweli....
Si yetu macho kwa kuwa hata Uporoto alisema hivyo kwa Husny ila yako wapi sasa
Utasubiri sana tuachane...

Sie tumemtanguliza Mungu mbele ndie anaetusimamia na kutuongoza!
 
Back
Top Bottom