Bukoba: Nyumba za Kiziru zashangaza wengi/ Nshomile nimewanyooshea mikono

Hii Ni baadhi ya mijengo huko machame nshara 80% Ni mtindo huu ndio maana ripoti zikasema kilimanjaro makazi Bora Ni 86% na Ni mkoa wa pili tz kwa wananchi wake kuwa na gdp kubwa,makaz bora na miundombn toshelezi baada ya dar I think umeelewaView attachment 1039023View attachment 1039024View attachment 1039025

Sent using Jamii Forums mobile app
kweli jamaa yangu umetisha maana umechanganya mambo mengi kukwepa uongo uliotuleta.maneno mengi natamani nikujue maanawewe kwenye mazuri yeyote yanayoongelewa ya wahaya lazima hupo na jedwali lako hilo siku zote mpaka tumeshazoea.
 
mkuu kumbe tunapoteza muda kwa wagonjwa wa akili

Kwani mwombeki mchaga, mbona ni muhaya katokea kwa kina Ruge, huyu ni kichaa tena nasikia ukoo wake wengi vichaa.

Ila jameni wahaya ushamba mwingi, mmesoma ila mnakuwa mabwege mlojaa misifa isiyo na uhalisia, kama mnesoma mngekuwa mnaongoza kiuchumi lakini mnaishia kujenga vijumba viwili mtaani basi ndo mwajiona mmeendelea sana, nendeni chato sasa muone, nendeni makete, machame, kibosho, lushoto ndo mtatokwa povu.
 
kweli jamaa yangu umetisha maana umechanganya mambo mengi kukwepa uongo uliotuleta.maneno mengi natamani nikujue maanawewe kwenye mazuri yeyote yanayoongelewa ya wahaya lazima hupo na jedwali lako hilo siku zote mpaka tumeshazoea.
Achana naye huyo ni moja ya vichaa wa uru . sijui wahaya walimkoseaga nini? Ana chuki binafsi na wahaya wala usiangaike kubishana nae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mwombeki mchaga, mbona ni muhaya katokea kwa kina Ruge, huyu ni kichaa tena nasikia ukoo wake wengi vichaa.

Ila jameni wahaya ushamba mwingi, mmesoma ila mnakuwa mabwege mlojaa misifa isiyo na uhalisia, kama mnesoma mngekuwa mnaongoza kiuchumi lakini mnaishia kujenga vijumba viwili mtaani basi ndo mwajiona mmeendelea sana, nendeni chato sasa muone, nendeni makete, machame, kibosho, lushoto ndo mtatokwa povu.
Hivi na wew ni wa uru?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mahali sijafika kwa Tanzania hii. Mikoa mingine nimeingia hadi ndani kabisa huko na Kagera ni mmojawapo. Sikatai kuwa kuna utajiri wa majumba ila sasa ninataka ufahamu kuwa hawawezi kuwafikia mkoa wa Kilimanjaro na nikitaja hasa wilaya maarufu zenye wachaga. Hata mkoa wa Kilimanjaro siyo Wilaya zote maana ziko ambazo zina hali za kawaida tu. Hivyo siongei kwa kuwa mimi ni inferior kwa haya ila ninaongea kama inferior kwa wachaga tu. Hata kwetu siwezi kulinganisha na Kagera wala Kilimanjaro wala Arusha maana kwetu nyumba za maana ni za kuhesabu. Asante kwa nunielewa mkubwa.
Hahahahaa Zogwale leo unaitwa Mchaga eti.. Wahaya bana!!
 
Kwani mwombeki mchaga, mbona ni muhaya katokea kwa kina Ruge, huyu ni kichaa tena nasikia ukoo wake wengi vichaa.

Ila jameni wahaya ushamba mwingi, mmesoma ila mnakuwa mabwege mlojaa misifa isiyo na uhalisia, kama mnesoma mngekuwa mnaongoza kiuchumi lakini mnaishia kujenga vijumba viwili mtaani basi ndo mwajiona mmeendelea sana, nendeni chato sasa muone, nendeni makete, machame, kibosho, lushoto ndo mtatokwa povu.
Hahahahaa na wewe wa Shinyanga utaitwa Mchaga.. Just wait and see
 
Halafu mkuu hii tena umeweka ya kawaida tu. Sasa kuna zile nyumba zimejipanga ile barabara ya akina Mbowe siijui inaitwaje. Panda nenda maeneo ya akina Mzee Mengi n.k. Sasa kwa ujumla uchagani nimetembea sana kutokana na majukumu yangu ila kwa hakika sijawahi kuona maeneo yaliyojengwa kama kwa wachagga. Ukweli ile migomba imeficha maghorofa ya kisasa mno na nyumba hata kama ni za chini lakini hizo design sijawahi kuona. Ninaamini zile nyumba za wachaga ukizikusanya kwa pamoja zikaonekana eneo moja zitazidi hata za Dar Es Salaam. Nilipiga picha sema zilikuwa corrupted. Yaani kule hata nyumba za mifugo ni za tofali tena zimejengwa imara mno, majiko ya kisasa ya kuni/mkaa kwenye nyuma nyingi, gesi ilipoingia ninaamini wamehamia gas. kule kipingi kile nilikuta familia zinapikia mkaa wakati kulikuwa umeme na gas bado. Daah ukweli wachaga sina la kuwaambia ila tukubali wote kuwa hawa watu siyo wa mchezo. Na ndiyo maana wale ambao wana roho za kwa nini na wivu hawawezi kamwe kuwapenda wachagga. Miaka hii wao wamejikita katika kuimarisha biashara wakati wengine wanatumbuana. Wakimaliza miaka ya kutumbuana watakuta hawa watu wako mbali mno. Kuna siku nilihudhuria kikao kimoja cha maendeleo ya upande fulani wa uchagani (nilialikwa na rafiki yangu ili nijifunzd nikaanzishe kwetu na nimeshaanzisha ila sasa kuwaweka sawa watu ni kazi sana) ukweli yale yanayozungumzwa huko ya maendeleo utafikiri ndiyo mipango kama ile ya serikali kabisa. Chaggas have their own plans, of course focusing on specific areas (machame, uru, kibosho, vunjo, n.k na huko huko unakuta tena kuna vile vya vitongozi, n,k), with their respective Development Foundations. Achilia mbali vyama vya koo zilizo pamoja wanakutana na kuweka mipango ya maendeleo na kusaidiana.
Jiandae kubatizwa kabila la kichagga mkuu.. Lazima watakuita wewe mchagga!!
 
Jiandae kubatizwa kabila la kichagga mkuu.. Lazima watakuita wewe mchagga!!
Acha waniite tu. Somo la Siasa na zile mambo za katiba imesema nitakuwa mkweli daima na fitina kwangu ni mwiko. Hakuna awezaye kushindana na Taifa la wachaga kwa maendeleo. Hata kwetu nitokapo labda by 100 years ndiyo tutafika nusu ya wachaga kitajiri. Wale ni kiboko. Badala ya kuwaandama ni bora kwenda kujifunza kwao ili tujue tukaanzie wapi. Mimi nimejifunza sana kwao sema kwetu hata huku mjini UKITAKA kuwaunganisha ni nunda tu. Binafsi nimeanza kujikomboa kivyangu maana nilibahatika kuoa mchaga na sijutii. Ukoo wetu almost wote waliamua kuoa uchagani maeneo tofauti baada ya Mimi kuoa mchanga aliyeleta mabadiliko katika familia yetu. Salute shemeji ZANGU.
 
Watu Kama kina instanbul hawataki kusikia hii kitu
Niliwah kuwaambia uchagn hata muuza supu Ana akili kubwa kiuchumi kuliko msomi uchwara wa kagera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom