Bukoba: Nyumba za Kiziru zashangaza wengi/ Nshomile nimewanyooshea mikono

weka ushaidi maana kwa maneno tu ss tutaaminije ambao hatujafika
Hii Ni baadhi ya mijengo huko machame nshara 80% Ni mtindo huu ndio maana ripoti zikasema kilimanjaro makazi Bora Ni 86% na Ni mkoa wa pili tz kwa wananchi wake kuwa na gdp kubwa,makaz bora na miundombn toshelezi baada ya dar I think umeelewaView attachment 1039023
tapatalk_1549719495313.jpeg
FB_IMG_15020060897734219.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo Bukoba hivi ukifanya biashara ya ndizi utauza kweli?? Mana kila mji una migomba kibao

Itawaliwe mara ngapi wewe. Wapi hatupo katika dunia hii. Hao ndio wenye nchi wachaga- Waisrael wa Tanzania. Kasirika upasuke iko hivyo.
 
Hii Ni baadhi ya mijengo huko machame nshara 80% Ni mtindo huu ndio maana ripoti zikasema kilimanjaro makazi Bora Ni 86% na Ni mkoa wa pili tz kwa wananchi wake kuwa na gdp kubwa,makaz bora na miundombn toshelezi baada ya dar I think umeelewaView attachment 1039023View attachment 1039024View attachment 1039025

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu mkuu hii tena umeweka ya kawaida tu. Sasa kuna zile nyumba zimejipanga ile barabara ya akina Mbowe siijui inaitwaje. Panda nenda maeneo ya akina Mzee Mengi n.k. Sasa kwa ujumla uchagani nimetembea sana kutokana na majukumu yangu ila kwa hakika sijawahi kuona maeneo yaliyojengwa kama kwa wachagga. Ukweli ile migomba imeficha maghorofa ya kisasa mno na nyumba hata kama ni za chini lakini hizo design sijawahi kuona. Ninaamini zile nyumba za wachaga ukizikusanya kwa pamoja zikaonekana eneo moja zitazidi hata za Dar Es Salaam. Nilipiga picha sema zilikuwa corrupted. Yaani kule hata nyumba za mifugo ni za tofali tena zimejengwa imara mno, majiko ya kisasa ya kuni/mkaa kwenye nyuma nyingi, gesi ilipoingia ninaamini wamehamia gas. kule kipingi kile nilikuta familia zinapikia mkaa wakati kulikuwa umeme na gas bado. Daah ukweli wachaga sina la kuwaambia ila tukubali wote kuwa hawa watu siyo wa mchezo. Na ndiyo maana wale ambao wana roho za kwa nini na wivu hawawezi kamwe kuwapenda wachagga. Miaka hii wao wamejikita katika kuimarisha biashara wakati wengine wanatumbuana. Wakimaliza miaka ya kutumbuana watakuta hawa watu wako mbali mno. Kuna siku nilihudhuria kikao kimoja cha maendeleo ya upande fulani wa uchagani (nilialikwa na rafiki yangu ili nijifunzd nikaanzishe kwetu na nimeshaanzisha ila sasa kuwaweka sawa watu ni kazi sana) ukweli yale yanayozungumzwa huko ya maendeleo utafikiri ndiyo mipango kama ile ya serikali kabisa. Chaggas have their own plans, of course focusing on specific areas (machame, uru, kibosho, vunjo, n.k na huko huko unakuta tena kuna vile vya vitongozi, n,k), with their respective Development Foundations. Achilia mbali vyama vya koo zilizo pamoja wanakutana na kuweka mipango ya maendeleo na kusaidiana.
 
Kwa nini unaongea yote hayo kwenye Uzi wa Kama bukoba? Hujakatazwa kuanzisha Uzi upasifie huko huu Uzi ni wa kuwasifia wahaya sasa wachaga mnatoka wap ili na nyie wawasifie au.you look to be inferior mbele ya wahaya na wahaya watazidi kuwadharau mkiendelea hivi.mtu anayeongea hivi ni wale waliofika bukoba wakaishia kashai wakasepa je ulienda kiziba,kamachumu,nshamba,kishanda,bugaboo na bukoba vijijini yote? Ndo maana walioenda msibani wanashangaa migheto uko vijijini unaongelea uchagani pekee nenda uhayani ndo utashangaa tena Sana.

Hakuna mahali sijafika kwa Tanzania hii. Mikoa mingine nimeingia hadi ndani kabisa huko na Kagera ni mmojawapo. Sikatai kuwa kuna utajiri wa majumba ila sasa ninataka ufahamu kuwa hawawezi kuwafikia mkoa wa Kilimanjaro na nikitaja hasa wilaya maarufu zenye wachaga. Hata mkoa wa Kilimanjaro siyo Wilaya zote maana ziko ambazo zina hali za kawaida tu. Hivyo siongei kwa kuwa mimi ni inferior kwa haya ila ninaongea kama inferior kwa wachaga tu. Hata kwetu siwezi kulinganisha na Kagera wala Kilimanjaro wala Arusha maana kwetu nyumba za maana ni za kuhesabu. Asante kwa nunielewa mkubwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom